Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Hivi ni kwa nini hivi jamani.?mbona sielewagi maelekezo hata ninapokwenda kwenye vipimo vya hiv,uti,malaria.nk huwa sielew hadi naamua kutumia dawa za asilia....
 
Mimi kuna Daktari wa kike pale Hurbert Kairuki nilimshinda kwa kutumia google tu kudadadeki, yaani alikuwa ana-force kumpa mwanangu dawa za kifafa wakati kwa ku-google kwa nusu saa tu nikagundua alichonacho mwanangu ni degedege, ila yeye anakomaan kwamba vipimo vya EEGg kitu gani sijui vinaonuesha sijui Hertz ngapi huko kwahiyo anakifafa..., tukapelekeshana hadi kwa madaktari wenzake ikabidi aanze kunikimbia..., na dawa walizompa zilikuwa za mwaka mzima.., sema niliwahi wakati ameshazitumia wiki tu, baada ya kukaa kikao na madaktari wengine wa hospitali hiyo hiyi ikabainika ni β€˜febrile seizure’ kama β€˜google’ ilivyosema.., na inprinciple huwa hawatoi dawa. Yule Dokta alikimbia hata hakuinekana kwenye kikao.., hakyanani.., kuja kucheki bili ya NHIF wamelamba 2 million!! Sema tu naogopa kuishtaki hospitali, maana nado nawahitaji sana.., huwezi jua lini utawarudia hapo.

Ila niliwaza sana, ni watu wangapi wasio na uwezo wa ku analyse mambo kwa kujiamini kama mimi kiasi wanamuona Daktari kama Mungu asiye na tamaa ya pesa ambao wanaweza kukuandikia dawa au procedure purely out of greed ya kukwapua pesa za bima.., yaani...
 
Hao madr walimpa mama yangu dawa ya pressure wakati ndio mara ya kwanza amepata pressure kiasi kwamba hawezi acha dawa. Yani madr wa Tanzania sijui wamelewa muda wote
 
Madaktari wetu ni kizunguzungu
 
Dah!! So sad!! Na hapo ni kwa kuwa alikuwa na kauwezo kifedha kidogo, je angekuwa kama mimi hapa kajambanani sijui kama angekuwa hai!!
Wangesema umerogwa au laana au ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nchi zilizoendelea ni panel ya madr wanafanya maamuzi
 
Mpiga ramli
 
Hao madr walimpa mama yangu dawa ya pressure wakati ndio mara ya kwanza amepata pressure kiasi kwamba hawezi acha dawa. Yani madr wa Tanzania sijui wamelewa muda wote
Mkuu endelea kumtazama Mama yako usije ukawa kama mimi nilisema hivyo hivyo baadae akaja kupata stroke kwa ubishi wangu. Dr alinambia japo ni mara ya kwanza lakini presha yake ni kubwa mno na inaonekana ilikuwepo muda mrefu. Nikasema aah wapi. Leo mama hatembei hawezi chochote. Be careful acha kiburi cha uzima.
 
Kwa hiyo kaondoa thyroid glands, yaani kafanya bilateral thyroidectomy........sasa hizo hormone za thyroxine zitazalishwa vipi, ndo maana kapata effect za low metabolism. Ni vizuri madaktari kujipa muda wa kutosha na kufanya consultations kabla ya kufikia maamuzi kwa case sensitive kama hizo.
 
Ebu acheni Roho za chuki na makasiriko hakuna Daktari anayetoka nyumbani anasema anaenda kuua au kumdhuru mteja wake hii ni bahati mbaya na inatokea hata huko ulaya mnapo pasifia Kuna mistakes nyingi kama hizi pamoja na wao kuwa na technology ya juu sana, just Google medical legal cases uone,huyo Dr Mavura ametoa sampuli ya ugonjwa amepeleka kupimwa majibu yamerudi ni Capillary Carcinoma ambayo tiba yake ni kuwahi kutoa uvimbe wote sasa yeye kosa lake lipo wapi?
 
Hii nchi kila mtu ana stress za umasikini, madaktari wengi sio concentrative kwenye kazi zao na shida kubwa ni umasikini na kuwaza kupata hela kila siku.
 
Huu ugonjwa wa uzembe kazini na kutowajibika ni ugonjwa maarufu sana hapa kwetu kitintale.
 
yale yale ya mguu watu wakapasua kichwa na wakichwa akaliwa mguu. JK akachungulia akaona ooooho hili tezi acha liende kwa wanyamwezi wasije hawa wakatoa kende zenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…