Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Basi nendeni mkatibiwe huko nje mnakohisi kuna madaktari malaika View attachment 2302353
Medical error za Ulaya siyo kama hizi za Tz. Tz uki ingia Theatre death na ku survive ni 50%.
Tz ma Dr na ma nesi ni ngono tu hata muda wa kazi. Kushikana shikana tu hivyo.

Hata Practical Poor.
Eti "D" 2 usome Clinical Medicine. Nursing ndio walio feli form four!!
 
Dah
Kuna sehemu nimepasifia ulaya!?
 
dr mavula tmj, muhimbili, hindu mandal..by the way namjua..skuwahi jua anahudumu haspital zote hizo..pengine kuna hospitali nyingine anafanya zaidi ya hizo zilizotajwa..hivyo kumfanya awe na mda mchache kuattend mgonjwa katika kila hospitali, kumbuka hospital nako its business..kama wagonjwa wako 6 na ana saa manne kila siku lazima agawe muda awamalize fasta fasta.

workmate wetu kafanyiwa operation ya goitre muhimbili alhamdulilaah yuko poa now tangu last year..tena alishauriwa na dakatari wa hospital nyingine aende muhimbili, aende hapo awe tu mvumilivu kwa maana hapo ndo the best kwa case za magonjwa yote, madaktari bingwa wote wapo hapo, vifaa vyote vipo hapo..awe na pesa tu za kutip hapa na pale..akaambiwa huko kwingine ataliwa pesa tu case ikiwa worse wanakurefer muhimbili.
 
Baada ya majibu ya pili kurudi kwamba hana, ni kwanini aliimalizia ‘Thyroid yote’? Na kwanini walimwambia akapigwe mionzi ilihali ni tatizo la upungiufu wa hormone? Walitaka kumuua? Aiseee hapo ilitakiwa adai bilioni 2
 
Nilipo kuja kuwaona madokta ni ndezi ni apa jamaa angu kapata ajali mguu umevunjika kwenda hospital wanataka kukata na pesa mpaka apone almost 2.5 million, tukamchukua kijana tukampeleka kitaa kuna moto ivi alipigwa ndani ya mwezi kapona anagonga gia ni boda gharama elfu 20.
 
Hongera sana,kwakweli watu wengi wanapewa huduma wasizotakiwa kupewa,na at the end of the day,unakuta walienda kwa tatizo hili,jingine linaibukia hukohuko,ndiyo wataalamu wetu hao.
 
Na wanashikanashikana kweli,yaani kazini wao ndiyo wanaona ni sehemu ya kuwekeana miadi,na ikiwezekana wanatiana humohumo ofisini,kwenye vitanda vya kuchekia wagonjwa.Inasikitisha sana,mi kwa kacha ya huku Afrika,ningeweka kigezo cha kusomea utabibu,kwa wadada,asiwe na tako kubwa au sura nzuri,kwa wakaka huko wawabane tu darasani,Hawa wadada wenye matako makubwa na sura nzuri,baadhi yao ni empty kabisa kichwani,matokeo yake,wanapata digrii au diploma za chupi,ajira za chupi na ofisini wanakua waburudishaji wakubwa wa mabosi wao kama ma HR.Hayako competent.
 
hapo rabinincia nako usipaamini hata kidgo..lol madakatari wengi hapo ni intern..vifaa na majengo A+ ila mataibibu wanaoutsource
 
Subiri upate maelezo ya upande wa pili kabla hujatoa hukumu, na kuona ma doctor wa Africa hawafai

Nina ushuhuda na hayo niloandika baba yangu aliambiwa ana tatizo kubwa la moyo asipofanyiwa operation anaweza asimalize miezi sita tukae da India alipewa dawa tu sasa hivi ni miaka inafika sana yupo gado na moyo umetulia hatumii dawa yoyote zaidi ya kuzingatia diet so usione nimejisemea tu sijui kaka au dada nasema kilichonikuta
 
hapo rabinincia nako usipaamini hata kidgo..lol madakatari wengi hapo ni intern..vifaa na majengo A+ ila mataibibu wanaoutsource
Kweli kabisa,hapo rabinìnsia maìntern wamejaa nililazwa na mtoto anazidiwa niko wodini wenyewe wapo tu na vingereza vyao vya kinamna mwishoe nikaona nibebe mwanangu huyoo akaenda kuponea kwa dr.hassanali muhindi mjini!
 
Hiyo Goitre ukienda Bugando kufa 90% kupona ni 10%.
 
Hamna kesi hapo.. Huyo mgonjwa ajiandae kulipa fidia y kuchafua watu

Ile nyie madaktari hatari sanaa...
Kuna mmoja aliniambiaga Nina bacteria wa vidonda tumbo ndio maana tumbo linauma sanaa.

Akanipa dawa, kufika nyumba nikawazaaa nikaona ninywe dawa ya asili ya tumbo la typhoid.

Aisee nilikunywa siku 3 nikapona.

Mpaka leo dawa za Dokta mwenzako ninazo na kila kitu nakula na sijawahi pata maumivu tumboni Wala pilau, pilipili na vyengine kuzingua.

#YNWA
 
Kweli kabisa,hapo rabinìnsia maìntern wamejaa nililazwa na mtoto anazidiwa niko wodini wenyewe wapo tu na vingereza vyao vya kinamna mwishoe nikaona nibebe mwanangu huyoo akaenda kuponea kwa dr.hassanali muhindi mjini!
hehe hapo nurse station yao wanajivuta hatari...stosahau nlikua naendesha jamaa wakaniambia nina kipindupindu..just tumbo la kawaida..aisee..nkapigwa transfer mwanyamala..mwananyamala walicheka sana..kesho yake asbuhi nkapewa dawa nkarudi home.
 
Ila wabongo kwa kuponda tu wako vizuri, halafu kesho binti yake akitoa mimba anakuwa mpole kumfata daktari.

Kwamba bongo maspecialist ni wa mchongo? Watu wanasoma kwa kukesha, wanamaliza wanakaa kazini kwa kukesha kusaidia ndugu zetu na marafiki ila kuna mtu anasema wa mchongo.

Nasema iiiihiiiiii aaaaahaaaaa( in magufuli's voice)
 
Habar inaMiss upande wa Mshtakiwa hivyo ni muhimu sn kutofanya Judgements,. Subir upande wa pili nao ulete ushahid wake, maana muandishi hajui alivyoviandika na mlalamikaji mwenyew hajui anavyoviongea.

Haiko wazi alienda Muhimbili kwa tatizo gani, anasema alijua amefanyiwa operation ya Goiter kumbe ni ya tezi ya Thyroid, (Thyroid na Goiter ni kitu hiko hiko)

My Take;
Huyu alikua na Goiter, a k.a Uvimbe wa Tezi ya Thyroid, na matibabu yake ni kwa Stages..
Kuiondoa kama haijasambaa, au mionzi, au Chemotherapy, au vyote kulingana na kusambaa,

Kama angekua na shida ya Hormones asingepelekwa kwa Daktar wa Upasuaji, (Jaribu tu kutumia akilia yako) Angeenda kwa Ma Endocrinologists, ambao hawadili na kupasua.



Ila concern yang ipo kweny hizi comments, wabongo mko rahis sn kutukana Watu wote kwa makosa ya mtu mmoja, na bado ukweli haujafahamika mshaanza kutuweka uchi,

Haya bna ngoja mpate maGono, mtakuja tu inbox wapuuzi nyie,

Hii inaonesha Dhahiri uIgnorant mlionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…