Polyclinic ile ni biashara so sehemu nyingi unatafutiwa tatizo ili wapate hela kuuza dawa zao.Hii inawakuta wengi tu,, mdogo wangu poly clinic moja walimwambia mishipa ya moyo imetanuka..
Mtoto alilia hii siku,, mtu mmoja akanambia tafuteni vipimo vya hosp kama 3.
Nikaenda nae NSK Arusha, wakampima majibu ni hamna shida yoyote kwenye moyo… likizo akaenda Dar akapima tena Rabininsia, hamna kitu.
Sasa sijui wanakwama wapi
Ndio maana ule upasuaji wa kutenganisha watoto niliona madaktari weupe tuu.
Polyclinic ile ni biashara so sehemu nyingi unatafutiwa tatizo ili wapate hela kuuza dawa zao.
Duuuh!Kwanza hatuna medical scientist
Pili, daktari wetu hawasomi.
Hii field inataka sana kusoma.
Mi mwenyewe kuna dokta niliwahi kumuona tena wa Muhimbili, akawa ana google khs tatizo langu ndio ananipa maelezo
Nilimuambia excuse me, nikatoka mazima.
Nchi hii imejaa siasa..S
Italeta nidhamu,sio madaktari pekee,pia ofisi ya DPP unamuweka ndani mahabusu mtu miaka then unamuachia hana kesi ulimkamatia nini sasa
Sio kweliPolyclinic ile ni biashara so sehemu nyingi unatafutiwa tatizo ili wapate hela kuuza dawa zao.
Sasa waendelee tu kufanya kazi kwa mazoeaSio vizuri sana kuwashitaki madaktari
Mkuu tunakubali madaktari wanatutibu kila siku na tuna pona ila ukweli kwa sasa tuna tatizo kubwa sana la watumishi kuanzia miundombinu,elimu ya darasani nk.Huyo daktari pengine ameshawasaidia wengi kabla ya hili kutokea, na pengine wengi tayari wanamheshimu..
Kuna vitu tunasahau, daktari huyu aliletewa majibu na pathologist na pengine alipohusianisha na dalili za mgonjwa akaona ndio tatizo alilonalo.
Kesho keshokutwa hatuombei, ukiumwa utatibiwa na daktari hapa hapa tanzania. Ukipona husemi hata shukurani ila usipopona basi daktari kilaza.
Take note: usihukumu kabla hujajua ukweli wa jambo
Kuna mamlaka zinazotoa leseni na bodi za kisimamia madaktari, wao ndio watatoa tamko sahihi juu ya hili. Mitandao inakuza sana mambo.
Wanajiona final sayHalafu sasa wanajifanya ni wajanja na wataalam kupita maelezo. Ulaya ukienda hospital manafanya discussion na dr na anakuuliza mapendekezo yako lakini Bongo dr wana viburi na wanajiona ni wataalam mno.
Niliwahi kupimwa nikakutwa na vidonda vya tumbo katika Hospital mbili tofauti, nikaanza dawa Kama Mwaka mzima Kila siku nakunywa Hadi nikaanza kukojoa mkojo wa rangi tofauti na unanuka madawaKuna maboko wanayatoa sababu ya dharau, kutokujali kwao, uzembe wa makusudi. Hapa itabidi tu tushitakiane.
Ma specialist wengi wana dharau sana,Dr Mavura ni jina maarufu sana, sasa kwa nini hawakukutana na huyo mgonjwa nje ya mahakama wakaomba msamaha
Kweli mkuu,, wanaojua umuhimu wa afya na uhai wa binadamu wapo,, hii nadhani ni kwa wachache tu.Subiri upate maelezo ya upande wa pili kabla hujatoa hukumu, na kuona ma doctor wa Africa hawafai
Kuna jibu hapahapa, goita ni kitendo cha tezi y thairoidi kuvimba. Ni kitu kimoja.Mimi nilikuwa najua nimefanyiwa upasuaji wa goita na sikuwahi kuambiwa na hospitali ya Hindu Mandal kama wamenitoa tezi, nimekuja kujua baada ya kuelezwa na hospitali ya Apollo ya nchini India kuwa kinachonisumbua ni upungufu wa homoni na siyo kansa.[emoji15][emoji3064]
Yap wale wa zaman walisoma kwa mapenzi ili kuja kusaidia watuMa specialist wengi wana dharau sana,
NB:Wapo wenye weledi hasa waliosoma zamani au wale waliosoma kwa ajili ya kusaidia watu tunawapenda sana kwa utumishi wao uliotukuka pia.