Bure?Hayo ndio madili ya madaktari Bingwa waliosomeshwa bure na serikali kwa kodi za watanzania. Appoinment wana kupanga Private Hosp wanako hudumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bure?Hayo ndio madili ya madaktari Bingwa waliosomeshwa bure na serikali kwa kodi za watanzania. Appoinment wana kupanga Private Hosp wanako hudumu.
Nje ya maada .
kuna baadhi ya client wamekuwa wajuaji/taarifa nusu nusu kuhusu condition zao hivyo kupelekea poor adherence kwenye matibabu yao Na ubishi usiofaa ,
Wagonjwa kama hawa condition ikiwa worse huwa ni wepesi sana ku-twist maneno na kuangushia lawama kwa watoa huduma.
NB. Watoa huduma za Afya jitahidini kuweka documentation sahihi, na refferences ziwepo.
Mgonjwa analeta ubishi kisa ame-google anakuja na taarifa nusu nusu ,then anataka ufate anachosema yeye.
Hakika .... umakini unahitajika .Nadhani kama mtoa huduma yuko smart na kazi yake anazo skills za kufanya probing na kuweza ku study history ya client plus kufanya validation ya anayoongea client kama yanajitosheleza.
In most cases nimewahi kuona watoa huduma wa hovyo ambao wanadhani kila client hayuko well informed na tatizo lake.
Nadhani mtoa huduma anayejitambua anajua namna ya kumsikiliza client bila kum discourage asiongee.
Being MD au vyovyote haimaanishi mteja wako hajui kitu na wewe ndio unajua, kinachotakiwa ku establish facts kuhusiana na prevailing condition sema watoa huduma wetu wengi wako so self defensive hata sijui why!
Ngoja tusuibiri kesi iendelee.Si vema kulizungumzia shauri lililopo mahakamaniHuko Ocean road aliagizwa aende kufanya nini? Kwani alikuwa na kansa au alikuwa ana ukosefu wa Thyroxine ndio ikasababisha nywele kunyonyoka na ngozi kusinyaa?
Kwani wameongezewa mshahara????Hayo ndio madili ya madaktari Bingwa waliosomeshwa bure na serikali kwa kodi za watanzania. Appoinment wana kupanga Private Hosp wanako hudumu.
Hili shauri limeenda mahakamani leo hii? Jana na juzi halikuwa mahakamani?Ngoja tusuibiri kesi iendelee.Si vema kulizungumzia shauri lililopo mahakamani
Possibility ya kupona Ulaya,ni kubwa kuliko possibility.ya kufa,hiyo yote inatokana na ukubwa wa teknolojia inayotumika kufanya tiba,na education wanayoipata.Kwani, unauhakika wangetenganishwa ulaya wangepona wote?
Natamani watu kama nyie niwajue siku ukiumwa uje kutibiwa nikukumbushe izi comment
Kwa hiyo waendelee tu kuharibu?Sio vizuri sana kuwashitaki madaktari
Daktari ambaye ameiva kabisa,amesoma medical psychology vizuri,akasoma na communication skills vizuri,na research mbalimbali kazifanya kabla ya kuvaa joho,hawezi akaendeshwa na client wake,na akafanya vile client anataka,kinyume na profession yake,hii utakua sawa na dereva wa chombo cha moto,ambaye abiria anamkontroo,wakati huyo abiria anategemea dereva amuendeshe vyema,kwasababu dereva husika kasomea ni ni mahiri katika kazi yake.Mi nashauri madaktari msome na mzingatie masomo,na muwe updated kwa kujisomea.Nje ya maada .
kuna baadhi ya client wamekuwa wajuaji/taarifa nusu nusu kuhusu condition zao hivyo kupelekea poor adherence kwenye matibabu yao Na ubishi usiofaa ,
Wagonjwa kama hawa condition ikiwa worse huwa ni wepesi sana ku-twist maneno na kuangushia lawama kwa watoa huduma.
NB. Watoa huduma za Afya jitahidini kuweka documentation sahihi, na refferences ziwepo.
Mgonjwa analeta ubishi kisa ame-google anakuja na taarifa nusu nusu ,then anataka ufate anachosema yeye.
Kwahiyo we huo uzembe wa india ....aspiration pneumonia unaona poa tu..kweli wabongo ujuaji mwingi alafu weupe kabisaMzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Ukitegemea maneno ya baadhi ya madaktari,utakatwa kiungo ambacho ungejiongeza hata kwenda mambele huko,usingekatwa.Broo alipata shida akafanyiwa operation hospitali X akaekewa chuma kakaa miez karibu minne kidonda hakifungi wala dalili za kupona .. hawa wabobezi wakobize kubadili ma anti-bacterial tu.. badala ya kutafuta sababu kidonda hakiponi tena wengine wanashauri huo mkono ukatwe.
Kuhamishwa SA wakasema hiyo chuma kaekewa ndo ilikua inaleta infection... wakamuekea sjui ndo mfupa umejengwa na material gani tofauti na chuma saivi yuko zakefiti anadunda.
Kwani sheria inasemaje kuhusu kujadili shauri ambalo lipo mahakamani?.?Hili shauri limeenda mahakamani leo hii? Jana na juzi halikuwa mahakamani?
Sema wewe, ila mi nauliza majuzi wakati tunazungumzia hili suala, halikuwa mahakamani?Kwani sheria inasemaje kuhusu kujadili shauri ambalo lipo mahakamani?.?
Katika mfumo upi sasa wa kijamaa au kubepariHivi sheria inasemaje kuhusu madaktari wa hospitali za serikali kuhudumu kwenye hospitali za binafsi!
Hatukulizungumzia kwa kina kwa maana hatukujua ni shauri la defamation au malpracticeSema wewe, ila mi nauliza majuzi wakati tunazungumzia hili suala, halikuwa mahakamani?