Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Nje ya maada .

kuna baadhi ya client wamekuwa wajuaji/taarifa nusu nusu kuhusu condition zao hivyo kupelekea poor adherence kwenye matibabu yao Na ubishi usiofaa ,

Wagonjwa kama hawa condition ikiwa worse huwa ni wepesi sana ku-twist maneno na kuangushia lawama kwa watoa huduma.

NB. Watoa huduma za Afya jitahidini kuweka documentation sahihi, na refferences ziwepo.

Mgonjwa analeta ubishi kisa ame-google anakuja na taarifa nusu nusu ,then anataka ufate anachosema yeye.
 
Nadhani kama mtoa huduma yuko smart na kazi yake anazo skills za kufanya probing na kuweza ku study history ya client plus kufanya validation ya anayoongea client kama yanajitosheleza.

In most cases nimewahi kuona watoa huduma wa hovyo ambao wanadhani kila client hayuko well informed na tatizo lake.

Nadhani mtoa huduma anayejitambua anajua namna ya kumsikiliza client bila kum discourage asiongee.

Being MD au vyovyote haimaanishi mteja wako hajui kitu na wewe ndio unajua, kinachotakiwa ku establish facts kuhusiana na prevailing condition sema watoa huduma wetu wengi wako so self defensive hata sijui why!
 
Hakika .... umakini unahitajika .

Balaa unakutana na mtoa huduma naye kajichokea na changamoto za Kazi/maisha baasi inakuwa vurugu.
 
Huko Ocean road aliagizwa aende kufanya nini? Kwani alikuwa na kansa au alikuwa ana ukosefu wa Thyroxine ndio ikasababisha nywele kunyonyoka na ngozi kusinyaa?
Ngoja tusuibiri kesi iendelee.Si vema kulizungumzia shauri lililopo mahakamani
 
Kwani, unauhakika wangetenganishwa ulaya wangepona wote?
Natamani watu kama nyie niwajue siku ukiumwa uje kutibiwa nikukumbushe izi comment
Possibility ya kupona Ulaya,ni kubwa kuliko possibility.ya kufa,hiyo yote inatokana na ukubwa wa teknolojia inayotumika kufanya tiba,na education wanayoipata.
 
Nje ya maada .

kuna baadhi ya client wamekuwa wajuaji/taarifa nusu nusu kuhusu condition zao hivyo kupelekea poor adherence kwenye matibabu yao Na ubishi usiofaa ,

Wagonjwa kama hawa condition ikiwa worse huwa ni wepesi sana ku-twist maneno na kuangushia lawama kwa watoa huduma.

NB. Watoa huduma za Afya jitahidini kuweka documentation sahihi, na refferences ziwepo.

Mgonjwa analeta ubishi kisa ame-google anakuja na taarifa nusu nusu ,then anataka ufate anachosema yeye.
Daktari ambaye ameiva kabisa,amesoma medical psychology vizuri,akasoma na communication skills vizuri,na research mbalimbali kazifanya kabla ya kuvaa joho,hawezi akaendeshwa na client wake,na akafanya vile client anataka,kinyume na profession yake,hii utakua sawa na dereva wa chombo cha moto,ambaye abiria anamkontroo,wakati huyo abiria anategemea dereva amuendeshe vyema,kwasababu dereva husika kasomea ni ni mahiri katika kazi yake.Mi nashauri madaktari msome na mzingatie masomo,na muwe updated kwa kujisomea.
Hii mambo ya kusoma na kupata cheti,then mnaanza kusaka ajira,na mkiipata,mna-relax,mtazidi kukutana na changamoto za kila mara kutoka kwa clients.Nyakati za sasa, clients wenu siyo mambumbu,wanna Abcs,za mambo mengi,ukidadisiwa na client,wasiliana nae kiprofesheno,atambue kua wewe unajua vingi kuliko yeye.
 
Mzee alifariki Hospitali ya Fortis India 2013.....kwa mujibu wa aliyeenda nae...operation ilienda poa...ila alijitingisha akiwa na mpira wa chakula so chakula kiliingia kwenye mapafu akakaa kidogo akafariki.
Kwahiyo we huo uzembe wa india ....aspiration pneumonia unaona poa tu..kweli wabongo ujuaji mwingi alafu weupe kabisa
 
Broo alipata shida akafanyiwa operation hospitali X akaekewa chuma kakaa miez karibu minne kidonda hakifungi wala dalili za kupona .. hawa wabobezi wakobize kubadili ma anti-bacterial tu.. badala ya kutafuta sababu kidonda hakiponi tena wengine wanashauri huo mkono ukatwe.

Kuhamishwa SA wakasema hiyo chuma kaekewa ndo ilikua inaleta infection... wakamuekea sjui ndo mfupa umejengwa na material gani tofauti na chuma saivi yuko zakefiti anadunda.
 
Ukitegemea maneno ya baadhi ya madaktari,utakatwa kiungo ambacho ungejiongeza hata kwenda mambele huko,usingekatwa.
 
Hivi sheria inasemaje kuhusu madaktari wa hospitali za serikali kuhudumu kwenye hospitali za binafsi!
 
Back
Top Bottom