Kwahiyo unataka kusemaSuala la afya liko kwenye
jukumu lako mwenyewe.....
Ukiona unahisi unatofauti
mwilini,au unajisikia ndivyo
sivyo muone daktari
Aliyebobea kwenye kazi yake
Ova
Sio kweli.. inaingia kwenye consultation allowanceHachukui yeye hio hela inaingia kwa waliomuajiri
Una akili za bataKumuona mwanasheria ni 50000/= kabla ya chochote. Hiyo ni consultation fee.
Poa nimekuelewa kumbe kodi tunazolipa wananchi ni kwa ajili ya mishahara ya wabunge ,mawazi, wakuu wamikoa, wakuu wa wilaya na n.kHELA YA CONSULTATION HACHUKUI DAKTARI ILE NI KWA AJILI YA HOSPITAL KUWEZA KUJIENDESHA NA KUMLIPA MSHAHARA YULE DAKTARI ANAYEKUHUDUMIA .
Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
Inatungwa easy mbonaKwa sheria ipi Tanzania, unatakiwa kutoa huduma bure. Ukinipa basi naacha ubishi hapa
Analipwa na kodi za wananchiMtoa mada...hivi unajua dhamani ya daktr kweli ww?? Yan unalalamika kulipia huduma ya kumuona daktri ili apate huduma ya matibabu??? Inasikitisha snaa...so ulitaka akuone bure, umpigie simu muda wwte unaotaka ww kisa unaumwa??? 7Upo serious kwel ww? yan una bet mpka na afya yako mwenyew...so unataka akutibie bure..umemsomesha ww?? Mbona ukienda club nyt jus kukata mauno nyimbo zikipigwa unalazimika kulipa mlangoni hata kama kiingilio ni 50k?? So tutoleee ujinga wako hapa wa fikra..kwamba daktr akuone tu bureee kwa lipi haswa?? Soma ww udaktr halafu uje ulete hizi pumba zako humu[emoji34][emoji34]
𝐧𝐚𝐚𝐦𝐢𝐧𝐢 𝐡𝐚𝐩𝐨 𝐮𝐥𝐢𝐩𝐨𝐟𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐮𝐦𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐣𝐮𝐰𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐲𝐚 𝐝𝐨𝐜𝐭𝐨𝐫 𝐧𝐢 𝐧𝐢𝐧𝐢,Mkuu kumuona mganga wa kienyeji tu unalipia sembuse mtu alie ingia na kusota darasani miaka 6 au zaidi? Itabidi hata tukiwapigia simu tulipie maana tunawasumbua mno.
Sasa hapo umerekebisha maana au lugha?kujua kwingi nako Ni ujinga.Inaitwa "consultation fees" na sio kumuona daktari.
Hapo Kama unataka hvo ama nchi mkuu uanzishe ya kwako we unazan mtu kutibu watu ni mchezo mbona kwa waganga wakienyej waga haumuoni bureni upumbavu mkubwa kumuona daktari pesa. mbona yeye daktari akitoka nje huwa anatuona sisi bure hatumchaji
Duh!! 🙄, so lengo ni kupunguza wagonjwa kufika hospitali 🤔, basi wasingejenga kabisaLabda useme kuwe na kiwango kimoja kwa nchi nzima...
Ukiondoa hiyo fee, mahospitali yatafurika wakati bado uwiano wa daktari mmoja kwa wagonjwa ni mkubwa...
Umeandika usichokijua.Lengo hasa la consultation fee ni nini? na je what if kila Fani wakijiwekea utaratibu huo wa consultation fees? maana wote wameingia darasani na wamesota.
1. Mfano, wahasibu- Degree ya kwanza + miaka ya CPA.
2. Wanasheria wasomi - Degree ya kwanza + miaka ya Law School.
3. Maafisa manunuzi - Degree ya kwanza + miaka ya kupata CPSP
4. Maafisa Utumishi- Degree ya kwanza + Mitihani yao ya utumishi.
Utakuta hata hao walio kwenye kada nyingine wamesoma miaka almost the same kama hao madaktari.
Nikweli naunga mkono, consultation fee ifutwe.
Bila shaka una hospitali🤣Umeandika usichokijua.
Fikra za kijamaa (huduma za kijamii ni bure!) huenda ndio zimekufanya kufikiri hivyo.
Consultation fee ipo katika professional zote dunia nzima wakati wa kutoa huduma. Haijarishi ni Daktari, Mpishi, Lawyer, Accountant, Pastor, Fundi nk kote huko utakutana na Consultation fee. Issue ni namna tu watakavyomlipisha mtu ndio inaweza kutofautiana, wapo wanaokulipisha directly na wengine indirectly, ama individual vs group. Mtu anapolipa Consultation fee maana yake analipia muda, akili na maarifa ya mtaalamu anayemhudumia.
Unapolipa pesa ili kumuona Daktari, kimantiki ni kwamba imeilipa hospitali husika itenge muda, nguvu kazi, akili na maarifa ya kuanzisha/kuendeleza mchakato wa kuhudumia afya yako, na kihospitali hilo jukumu kimsingi huwa ni la Daktari. Na hospitali huweka flat rate ya consultation fee kwa wagonjwa wote ili kufidia, maana wapo wagonjwa wenye kuhitaji muda mwingi, akili kubwa, maarifa mapana na nguvu kazi na pia wapo wenye kuhitaji mambo hayo kwa uchache.
Yote kwa yote unapaswa ufahamu tu, ile consultation fee ni pesa ya hospitali husika, ndio hiyo hiyo hutumika kulipa wafanyakazi mishahara, Posho, kulipa kodi, umeme, maji, ulinzi na kununua vifaa.
Wewe ndio umeandika unachokijua!Umeandika usichokijua.

Udakitari ni witoMkuu kumuona mganga wa kienyeji tu unalipia sembuse mtu alie ingia na kusota darasani miaka 6 au zaidi? Itabidi hata tukiwapigia simu tulipie maana tunawasumbua mno.