Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo hasa la consultation fee ni nini? na je what if kila Fani wakijiwekea utaratibu huo wa consultation fees? maana wote wameingia darasani na wamesota.
1. Mfano, wahasibu- Degree ya kwanza + miaka ya CPA.
2. Wanasheria wasomi - Degree ya kwanza + miaka ya Law School.
3. Maafisa manunuzi - Degree ya kwanza + miaka ya kupata CPSP
4. Maafisa Utumishi- Degree ya kwanza + Mitihani yao ya utumishi.
Utakuta hata hao walio kwenye kada nyingine wamesoma miaka almost the same kama hao madaktari.
Nikweli naunga mkono, consultation fee ifutwe.
Mfano usmbiwe kafanye full blood picture...Ushauri hautolewi bure. Maana analipwa mshahara..
Kama vipi Better wachaji kwa muda na pia gharama iwe affordable.
Nchi yetu kila mtu amekuwa kama mtoto kila mtu anataka vya bure bureConsultation fee ipo kwenye kila taaluma mzee
Ova
Kwani daktari halipwi mshahara?Mkuu unataka ukapate ushauri wa kitabibu bure wakati wenzio wanesota darasani.
Mfano unaenda kwa daktari anakufanyia consultation hakafu unaondoka kwenda kununua dawa kwenye maduka ya dawa, hasara itakuwa kwa nani. Kwa wenzetu walioendelea consultation fee inachajiwa kwa muda daktari anaotumia kukuhudumia.
Wabongo wanataka shortcut mpaka kwenye masuala ya afya zaoMleta mada una tafsiri potofu kuhusu gharama ya kumuona Daktari. Kiuhalisia ile sio gharama ya kumuona Daktari bali ni gharama ya kutibiwa na Daktari. Kuonana na Daktari kwa lengo la kutibiwa ndio msingi wa huduma zote za matibabu kwa mgonjwa, na pesa unayolipa ndio inalipia muda wake, juhudi zake na akili yake itakayo tumika kutambua ugonjwa wako na kupangilia matibabu ya ugonjwa wako na wagonjwa wengine. Gharama hizo hutofautiana baina ya hospitali na hospitali au Daktari na Daktari. Kwa hospitali za umma (serikali) ile pesa inaingia kwenye mapato ya serikali na kwa hospitali za binafsi ile pesa inaingia kwenye hospitali husika, Daktari yeye hulipwa na taasisi husika kwa mapatano binafsi.
Ndomana kna comment yangu 1 kwenye uzi huu,nlisema consultation fee iko kwenye kila taalumaHujawahi fanya kazi au kupata shida.
Maeneo yote hayo imetaja wanalipa consultancy fee.
Kumuona mwanasheria kukushauri ni 50000 unatoa papo kwa papo. Na sijawahi ona mwananchi analalamika na hizi zinalipwa bila shuruti.
Mwanasheria kucertify cheti kimoja ni 20,000 bila hiyo hupati huduma. Sijawahi ona mwananchi analalamika.
Ukienda kwenye firms za wahasibu unalipa consultant fee, ukienda kwenye firms za Manunuzi unalipa. Sema wewe hujui. Na ni hujui kwasababu hizo huduma so kila mtu atataka. Na anayetaka hizo huduma ni mwenye pesa haoni shida. But huduma za afya ni mtakuja kuanzia masikini hadi tajiri lazima mje tu. Ndo maana vitu vidogo mnaona vikubwa but ukienda kwa mwanasheria kule au consultation kwaajili ya projects unalipa tu.
Na ukiona hivi ujue ndo umuhimu wa hiyo huduma. So chutama na omba iboreshwe
Ila afya mnaona ni kitu cha bure. Duniani kote huduma za afya ni very expensive ukisema uendeshe kwa hivi mnataka. Ipo siku utapakwa Mavi ya mgonjwa badala ya spirit.
If you think health is expensive try ignorance.
Dunia ya leo hakuna cha bureNchi yetu kila mtu amekuwa kama mtoto kila mtu anataka vya bure bure
Either hauna akili ama wewe ni mpumbavu.....majibu ni mawili tu.Ama iwe ukienda buchani kununua nyama ukiingia tu buchani unalipia kumuona muuza nyama halafu ndio anakata nyama anapima unalipia nyama kilo moja unaondoka
Aisee, ni atai kweikwei!Basi kila sehemu ingekua hivyo tungefika? Mfano ukitaka kusafiri kwenda Morogoro ukiingia tu kwenye abood bus utoe pesa ya kumuona dereva wa basi then ulipie na nauli yako kwa konda
Kama hakuna cha maana kwa nini utoe hio hela?[emoji1787][emoji1787]Unaenda pale unaeleza unavyojisikia anakusikiliza na kuandika ukapime kipimo gani kutokana na dalili zako, hapo napo daktari anaona amefanya kazi kuubwa. Kwenye clinic mfano muhimbili pale Jakaya, kumuona daktari elfu 15 hiyo lazima kwanza na hakuna cha maana.
Waache wafe Wakilalamika. Watanzania ni watu wajinga sana. Hata hawajui wanataka nini. MagufuliJP walimtukana sana ila sasa wanakumbuka, JK the same.Ndomana kna comment yangu 1 kwenye uzi huu,nlisema consultation fee iko kwenye kila taaluma
Mambo sheria,mambo tax,mambo ya biashara etc
Nashangaa wanaiona hyo ya udaktari tu
Kifupi suala la udaktari,afya naliheshim sana
Juzi juzi hko kigamboni kna namjua tena anauwezo tu,alikuwa anajisikia vibaya kaenda moja kwa moja duka la dawa kachkua dawa za uti
Kameza,jamaa kakata roho
Sasa badala aende hospital au clinic
Ajue ttz jamaa kajifanya mtaalam wa afya anajua
Kafa kindezi kweli
Ova
Unajua kua kama kuna mashirika ya bima yanafanya biashara?[emoji16][emoji16]Asante sana mkuu, kumbe nawe umeliona hilo!
Hizi hospital/clinic ni mtihani mkuu. Kufungua file tsh 5000, kumuona daktari 25000 na kwendelea. Ikiwa utakutwa na tatizo basi watakuambia tumia dawa flani, itakubidi dawa hizo uzinunue kwa gharama yako.
Next? Utaambiwa baada ya kumaliza dawa hizo utapaswa uendelee nazo au urejee hospital/clinic uonane tena na daktari, kisha utalipia kumuona daktari kwa mara nyingine, kwa hiyo utaendelea hivyo hivyo mpaka hali itakapokaa sawa. Mheshimiwa rais wa watu, mwenye imani na huruma aliangalie suala hili na alifanyie kazi.
Huo mshahara ndio unatokana na hio consultation fee unayolipia.Consultation fee unalipa ya nn wakati huyo daktari analipwa mshahara na mwajiri wake??
Na hilo ndio tatizo lenu, hao wanaokufa kwenye uangalizi wenu huko hospitali kutokana na aina za tiba zenu au uzembe wenu hayo hamuyazungumzii ila mkisikia mtu katumia dawa ya kienyeji au kanywa dawa bila ushauri wenu na kafariki au kapata madhara basi hayo ndio mnayaona na kuyaongea.Ndomana kna comment yangu
1 kwenye uzi huu,nlisema consultation fee iko kwenye kila
taaluma
Mambo sheria,mambo
tax,mambo ya biashara etc
Nashangaa wanaiona hyo ya
udaktari tu
Kifupi suala la udaktari,afya
naliheshim sana
Juzi juzi hko kigamboni kna
namjua tena anauwezo
tu,alikuwa anajisikia vibaya
kaenda moja kwa moja duka la
dawa kachkua dawa za uti
Kameza,jamaa kakata roho
Sasa badala aende hospital au
clinic Ajue ttz jamaa kajifanya mtaalam wa afya anajua
Kafa kindezi kweli
Ova
Ingekuwa ni hiayari nisingetoa, sema ndio hivyo madaktari wenyewe wamefundishwa kutengeneza pesa kupitia afya za watu.Kama hakuna cha maana kwa
nini utoe hio hela?[emoji1787][emoji1787]