Mgonjwa wa sukari imepanda hadi 34

Ana umri wa miaka32...nakapata sukari ndo ana wiki moja tangu apate hii sukari..nauliza je kama kapata sukar ktk huu Umri ukubwa anaweza kuwa na hiyo type1 maana anachomwa insulin..
 
kama uko dar na haujui hospto Bora ni ipi , itakuwaje huyu wa mbinga au mtukula
 
Ana umri wa miaka32...nakapata sukari ndo ana wiki moja tangu apate hii sukari..nauliza je kama kapata sukar ktk huu Umri ukubwa anaweza kuwa na hiyo type1 maana anachomwa insulin..
Kwa sababu ndiyo ana wiki tu basi watamfanyia vipimo ili kujua ana type ipi ya Kisukari.

Wagonjwa wa Kisukari kilicholeta hiyo complication au wanaopandwa na sukari ghafla huwa wanachomwa Insulini ili kuishusha haraka, maana ina act haraka kulinganisha na vidonge. Hii haijalishi mgonjwa ni type 1 au type.
 
Navip insulini ataendekea nsyo mda wote ndo itakua matibabu yake au mbeleni itabadilika akatumia vidonge
 
Muhimbili huduma nzuri mno akifika pale emergency tu mnavyopokewa anaanza kupona by the time mnapelekwa wodini mgonjwa mnamuona kabisa uhai umesheheni.
Na sio sukari tu hata magonjwa mengine muhimbili wanajua bhana.Mimi ni shuhuda nilihangaika na kijana amana huko na wapi the time mafika Muhimbili kwanza walishangaa diagnosis za hiyo hospitali ingine.Waka undo wakaanza upya, mgonjwa alianza kupata nafuu pale pale emergency.
 
Navip insulini ataendekea nsyo mda wote ndo itakua matibabu yake au mbeleni itabadilika akatumia vidonge
Wakimpima wakakuta ni type 1, basi maisha yake yote atatumia insulin. Maana yake ni kwamba mwili hauzalishi insulin kabisa.

Ikiwa atakuwa na type 2, basi ataanza kumeza vidonge ataachana na insulini.
 
Muhimbili huduma nzuri mno akifika pale emergency tu mnavyopokewa anaanza kupona by the time mnaoekekwa wodini mgonjwa mnamuona kabisa uhai umesheheni
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
 
Wakimpima wakakuta ni type 1, basi maisha yake yote atatumia insulin. Maana yake ni kwamba mwili hauzalishi insulin kabisa.

Ikiwa atakuwa na type 2, basi ataanza kumeza vidonge ataachana na insulini.
Kipimo Gani kinapima kujua sukari hii nitype 1 au sukar hii ni type 2...je kwamtu wamiaka32 sukar kapatia Umri huu mkubwa wa miaka 32 anaweza kuugua type 1 ?
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Mkuu mim lengo lilikua kutoka aman kwa referral kwenda muhimbili na muhimbili kwenyewe nliambiwa kitengo Cha sukari nimloganzila,Sasa Amana wakagoma kutoa referral nailikua niweekend nkaona nimpeleke Hindu Mandal ila dhumuni ilikua ni muhimbili maana namim nna clinic ya THYROIDs
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Vip mkuu kwahali hii ya sukar ya mgonjwa wangu inavochezea 13-18,mfano akichwa insulini saa kumi na mbili jion Kisha akala baada yakuchomwa insulin akilala mpaka kufikia saa tano usiku ukipma sukar unaikuta 16 naakilala Hadi asubub saa moja akipimwa sukar inakua 18...Leo nisiku ya tano tangu atumie insulin na dozi yake ya insulin nimara mbili kwa siku nauliza kwanin sukari yake haishuki zaid ya hapo pamoja nakuwa anatumia insulin..je anaweza akawa na tatizo jingine linalofanya sukari isishuke zaid ya hapo ..alikua na Sumu iliyotokana na sukar DKA ila waliitoa yote na pia cleton pia ilitolewa yote
 
Ndugu wabongo wengi tuna "Government Hospital Syndrome", yani tunaziona kama sehemu ya kifo.

Ila kiukweli hospitali za serikali hasa hizi kubwa wana huduma zilizonyooka sana.
Nilikua nampamgo wakwenda kumpeleka muhimbimbili vip
 
Umepata pa kufanyia uhuni
 
Mkuu Nenda kwa Dr.Abbas Karikakoo, yeye ndiye bingwa wa Sukari Mjini hapa...Lakini pia Sindano za insulin kwa mgongwa anayeanza kuumwa ni risk kubwa, nenda pale hakikisha utafika mapema kunakuwaga na foleni kubwa
 
Kumtibu mgonjwa Kuna taratibu zake ww tulia madaktar wafanye kazi zao acha kuwashinikiza
 
DKA hiyo, ukiishusha inashuka kupitiliza na unabidi uipandishe, ikipanda inashuka, ni heka heka hizo ndugu shida sio mvumilivu na usipokuwa mvumilivu basi sidhani kama kuna mtoa huduma atataka kukaa na ww maana utamtia stress tu, jiongeze ongea nao vzr utapewa maelezo vzr, ukibwabwaja bila staha basi na ww watakupotezea
 
Umepata wapi elimu kwamba Basmati rice Iko friendly kwa wenye Kisukari ??
Chonde chonde jamani tutakuja kuuwana
 
Mkuu Nenda kwa Dr.Abbas Karikakoo, yeye ndiye bingwa wa Sukari Mjini hapa...Lakini pia Sindano za insulin kwa mgongwa anayeanza kuumwa ni risk kubwa, nenda pale hakikisha utafika mapema kunakuwaga na foleni kubwa
Yaap huyu ndio mwamba hapa mjini kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…