Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

Pole sana kwa tatizo hilo! Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mguu wa gari kuvuma sana:

Bearings: Inawezekana bearings za gurudumu zimechoka na zinahitaji kubadilishwa.


Brake Pads: Brake pads zilizochakaa zinaweza kusababisha kelele.


Suspension: Vipuri vya suspension kama vile shock absorbers au bushings vinaweza kuwa vimechoka.


Alignment: Alignment mbaya ya
magurudumu inaweza kusababisha kelele na mtikisiko.
Ni vyema kumpeleka gari kwa fundi ili afanye uchunguzi wa kina na kubaini tatizo halisi. Fundi Maiko atakusaidia kutatua tatizo hili kwa usahihi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ahsante baharia wangu
 
wheel bearing imechoka. Badilisha za pande zote mbili; baadaye gari litakuwa linayumba sana utashindwa kulicontrol
Ulichosema ni kweli kiongozi nimebadili za mguu mmoja ila gari inayumba balaa starling inatetemeka aisee Leo naenda kuweka na upande mwingine tena
 
Back
Top Bottom