Rebel volcano
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 403
- 86
sikuwahi kumuuliza bse mzee wangu kama walivyo wazee wengine hawana pesa as huyu mmasaiulishawahi kumuuliza baba yako wakati anakulisha pesa unatoa wapi baba???!!!
naona kila kukicha zinazidi????!!!
achezi roho za kwa nini,mtalia lia kama walibya gaddafi wamuue tubaki wananchi tunatwangana na suluhu haijulikani lini.
nadhani kwa pesa mzee SSB anaongoza hapa TZ sasa huyu mzee wa kimasai yeye mmmhSio lazima awe anatoa yeye..ana watu wake wengi tu wana support ingawa naye ana pesa sana ana mifugo mingi sana zaidi ng'ombe 6000 na kampuni kibao za tours, hisa viwanda kibao hasa bomba na miradi yake mingine!ana pesa mingi sana uliza JK atakuambia
He is a very clever Man, anasuport nying sana ndani na nje ya nchi. Anafanya mambo mazuri sana kwa jamii. Kama mtu mwingine yeyote kwenye chama tawala angekua na uwezo alionao EL ninauakika angeichafua sana hii nchi. Tummpe haki yake, tusitafute chuki zisizo na maendeleo. Akichukua nchi tutapiga hatua kubwa sana, Mimi namkubali hata kama akiwa mgombea binafsi.
Nawakilisha.
heshima kwa wanajukwaa.Nimekuwa napata taarifa kumuhusu Lowasa, leo kasaidia mil 70 Mbeya,kesho Mil 100 KKKT Mwanza nk.
Mh Lowasa ni mbunge kama wabunge wengine na hata kama atasema anatumia pension ya uwaziri mkuu haitatosha nishawishi kuamini anapotoa pesa hizo..kwa mahesabu ya harakaharaka huyu mzee anafikisha mil 500 na zaidi kwa mwaka huu pekee kwa misaada tu. kwa mimi mTanganyika wa kawaida hizi pesa ni nyingi sana..
Mheshimiwa ninaomba unijuze wapata wapi hizo senti na mimi nkajichotee.
Rafiki yangu Lowassa ni mwizi tangu enzi za baba wa taifa ndo maana baba wa taifa alikuwa hataki hata kumsikia. Lowassa anamiliki makampuni ya Alpha dry and cleaners nchi nzima, ana miliki kampuni ya AlphaTel ambayo ni mojawapo ya super dealers wa VodaCom. Pia ana miliki kampuni inaitwa Babare ambayo inaonekana anashirikiana na Wasomali sijuwi wanafanya biashara gani nao. Pia ana makampuni ya Tours. Jamaa huyu pia inaaminika kuwa ana Hotel huko Afrika ya Kusini na kwingineko kusikojulikana na ana miliki nyumba kadhaa DAR na kwingineko n.k n.k. Nahisi pia ana migao kwenye makampuni ya uzalishaji ya umeme yanayoizua TANESCO umeme kwa bei kubwa kuliko bei ambayo TANESCO inatuuzia wananchi (hii ni kwa TZ tu, shamba la bibi).
Najiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na katika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?
Je alikwisha tangaza mali zake hadharani? na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo? Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?
No free lunch in this world, [Wazungu]. Ukitaka kula sharti uliwe kidogo, [JK]. Sasa kaa ukijua, ipo siku moja zitarudi tena nyingi zaidi.
Yeah, you are right Christine!! Wakati nachangia hii maada ilikuwa kama January 2012, leo hii ni June 2012! kati January hadi June kuna vitu vingi sana vimetokea kiasi cha huo mchango wangu hauna ukweli kwa 100%!! Its like answering a question this year about the economy of a certain country, when the same question is asked say the next year! definitely the answer will be different! unless someone is not doing his homework!....inategemea...Zambia walikula na kura walimpa SATTA...so usikariri mkuu!
Katika watu wenye biashara kubwa huyo ni mmojawapo rafiki,hawezi kufilisika leo wala kesho,aliposema Pinda kuwa kuwakamata mafisadi uchumi wa nchi utayumba hakukoseaNajiuliza na kukosa majibu Mh.Lowasa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge,nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na katika taasisi binafsi na zamakanisa.Huyu mweshimiwa pesa anazitoa wapi?
Je alikwisha tangaza mali zake hadharani? na kipato chake kiko vipi?Alipokuwa waziri katika awamu ya tatu kwa nini akufanya hivyo?na alipokuwa waziri mkuu kwa nini alishidwa kufanya hivyo? Na kwa nini safari zake na hotuba zake zinapewa umuhimu mkubwa katika vyombo vyetu vya habari?
kundi genge nyuma yake linajiita "friends of lowassa" ndio linalowezesha hayo mamilioni ya lowassa makanisani,cha kujiuliza kama kweli Lowassa ana nia ya kugombea urais then (mungu apishie mbali)akaupata,hawa jamaa atawalipa vipi?atafanya biashara gani pale ikulu itakayomuwezesha kuwalipa hawa marafiki zake????