Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

Mh. Edward N. Lowassa anapata wapi nguvu ya pesa?

Waacheni mafisadi na vibaraka wao walamba makombo wahangaike kugawa rushwa za kila aina,kiboko yao 2015 pale tutakapowapiga chini pamoja na kula pesa zao! WAKILETA PESA ZAO AU BODABODA ZAO TUNACHUKUA LAKINI KURA TUNAPIGA CDM,Watz wa leo si wale wa 2010!
 
-Siyo siri kwamba wasaka urais wawili wakubwa ndani ya CCM, January Makamba na Edward Lowassa, wamekuwa wakizunguka nchi wakigawa mamillioni ya fedha kwa wananchi ili waungwe mkono katika mbio zao za urais 2015

-Siyo siri kwamba Bw. Makamba Jr. Alikuwa mtumishi wa umma wa kawaida, lakini baada ya muda mfupi, huyu kijana amatokea kuwa na ukwasi mkubwa wa kifedha kiasi kwamba anadhamini vijana, na makundi mengi huku akigawa rushwa za waziwazi. Zanzibar aligawa simu aina za Samsung Galaxy S3 ambazo zinagharimu zaidi ya Tsh 700,000 kwa zaidi ya vijana 200 wa UVCCM. Kwa mahesabu ya juu juu, thamani ya simu 200 ni million 140. Hizi fedha amezitoa wapi January Makamba?

-Naye mzee Lowassa licha ya kwamba jimboni kwake ni masikini wa kutupwa, amekuwa akizunguka nchi nzima akigawa mabillioni makanisani na kwenye misikiti. Hizi fedha naye kazitoa wapi? Hawa watu wanatafuta nini Ikulu? Kwa nini CCM inyamazie tabia za hawa watu? January akumbuke kwamba ubunge wake aliupata kwa hila baada ya babake Mzee Yusuf Makamba kumfanyia hila Mzee. Shelukindo

-Naitahadharisha chama changu CCM kwamba, ikiwa itafanya makosa ya kuwapitisha hawa watu wawili ambao wanazunguka nchi wakigawa rushwa hadharani bila vyombo vya dola kuwahoji, nitafanya maamuzi magumu ya kuongoza uasi ndani ya CCM ili tuwape wananchi njia mbadala ya uongozi, hata kama itamaanisha kuwaunga mkono viongozi safi wa upinzani. Hawa vinara wawili siyo tu wanakiuka miiko na maadili ndani ya CCM, kwa maana kwamba muda wa kampeni bado, kadhalika wanavunja sheria za nchi kwa kugawa rushwa.

-January hajawahi kuchaguliwa kwenye cheo chochote kile hata ubunge, lakini badala ya kufuata njia halali, yeye anaendekeza rushwa huku akimpiga majungu waziri wake pale wizara ya Sayansi na Teknolojia. Natokea jimboni Bumbuli, lakini cha ajabu, Mzee Makamba na Mwanaye wanatangaza jimboni kwamba January Akiwa Rais Tanga itakuwa kama Singapore? Really? Tutafika kweli kwa mwendo huu? Hawa jamaa wanakimbilia ikulu kufata nini?

Hayakuhusu!
 
Waacheni mafisadi na vibaraka wao walamba makombo wahangaike kugawa rushwa za kila aina,kiboko yao 2015 pale tutakapowapiga chini pamoja na kula pesa zao! WAKILETA PESA ZAO AU BODABODA ZAO TUNACHUKUA LAKINI KURA TUNAPIGA CDM,Watz wa leo si wale wa 2010!

Utaishia kutokwa na mapovu tu!, Magogoni ina wenyewe,... M4C na ianzie kwenye Chama chenu Cha Wachaga kwanza kabla ya kuja kuwadanganya wanywa gongo wenzenu wakio,gozwa na babu!
 
Waacheni mafisadi na vibaraka wao walamba makombo wahangaike kugawa rushwa za kila aina,kiboko yao 2015 pale tutakapowapiga chini pamoja na kula pesa zao! WAKILETA PESA ZAO AU BODABODA ZAO TUNACHUKUA LAKINI KURA TUNAPIGA CDM,Watz wa leo si wale wa 2010!

Utaishia kutokwa na mapovu tu!, Magogoni ina wenyewe,... M4C na ianzie kwenye Chama chenu Cha Wachaga kwanza kabla ya kuja kuwadanganya wanywa gongo wenzenu wakingozwa na babu!
 
Tuendelee kuandika sana......RA ni mwendo kimya kimya......myaonayo kwa EL ni mvua za vuli...... subirini ELNINYO.......poor me and you......
 
Tuendelee kuandika sana......RA ni mwendo kimya kimya......myaonayo kwa EL ni mvua za vuli...... subirini ELNINYO.......poor me and you......

Nimepata tetesi kwamba January anafadhiliwa na shemeji yake Rostam Azizi?
Kama kweli basi tunalo. Ifike hawa jamaa mafisadi waanze kupigwa mawe
 
Haka kadogo kwanza niweke wazi ,mpaka leo sijawahi kumuona Makamba kama mtu anayefaha kuwa katika hiyo nafasi ukiachia kubebwa bebwa na jina la familia,lakini pili huyu dogo ni mzigo uliobaki CCM na atawasumbua kwasababu ana tabia kama za Zitto,wote ni watu wa uchu na wako radhi kufanya lolote na ndo walivyokuwa wakijiimarisha kwa pamoja sema sasa mwenzie CDM wameshtuka na kumshughurikia ..nawapeni pole CCM kwani majanga mnayo mengi na hizi pesa zitawagharimu na siku si nyingi mjiandae kumpokea na Zitto

ndugu acha kumdhalilisha zitto kwa kumfananisha january makamba. Licha ya zitto kushambuliwa ila kalifanyia taifa mengi. Wanajifanya wababe mle bungeni confidence wameitoa wapi kama waanzilishi vijana si kinazitto? Makamba kafanya nini?
 
Kaka kama ungalikuwa na akili kidogo tu hata kama ya kuku ungalimfahamu zito na tabia zake. Unangia kwa kuchemka kama mafuta ukidhani unawasilisha uhalisia kumbe you are very negative about who is real Zitto. Zito ana sura zaidi ya kumi na ni kigeugeu, msalili, mnafiki, muongo, mwenye ucho wa madaraka, mwenye hila mpaka kufikia njama za kuuwa huku akisingizia ni yeye anawinda na uchafu mwingi ambao hauelezeki kwa kuwa hapa is too public. Zito ni hatari kuliko anavyokuaminisha, unavyosoma maandiko/ matamshi yake na anavyojipambanua. Anajijua yeye mwenyewe, baadhi ya washirika wake wanaoshirikia kutekeleza uovu na ushirikina wake.

sio unaongea tu ili uonekane nawe unafahamu kidogo. Usiongee maneno ya kufikirika tu ila weka uhalisia tuone. Unakuwa mjinga harafu hujiju lini utaelimika?
 
Hapa ni lazima tuweke kumbukumbu vizuri ili historia ya Hawa Jamaa wawili itakapoandikwa katika taifa hili wote tuweze Kuwa na reference. Mnajua mzee makamba na EL walivyo marafiki na mzee makamba ameshatamka Mara Kadhaa Kuwa anamuunga Mkono el kwenye suala la urais lakini ghafla bin vuu ameibuka Makamba January kwa spidi ile ile ia EL Akitumia staili ile ile ya kugawa Fedha.
Wakati EL Akipita makanisani, misikitini na kwenye makongamano mbalimbali January yeye alikuwa busy na kugawa simu kwa Vijana zenye uwezo wa kutumia Internet ili waingie kwenye Mitandao ya kijamii kufanya propaganda zao na hatimae hitimisho Lao limekuwa moja nalo ni kutumia Vijana kufikia Malengo Yao.
Suala la kununulia Vijana Pikipiki amelianza el na Januari ameliendeleza huko Mwanza Huku pia yeye akibeba ujumbe wa kuwafungulia bima ya Afya.
bila Shaka utaona Kuwa Hapa anaecheza siasa ni Mtu mmoja na mwingine ni mfuasi tu na mfadhili wao ni mmoja, nashangaa sana Takukuru na usalama wa taifa hili wameamua kuacha mambo yajiendee yalivyo bila kufuatilia uovu huu wa kifisadi.
nashangaa mwenyekiti wa chama chao amekaa Kimya lakini pia nashangaa sana kwa watanzania Kama tunakubali kuingia Ndani ya mikono ya Huyu Jamaa kwa mbinu ya pesa.
 
Sumaye kasema watanzania tushaanza kupigwa mnada na mafisadi. Tena ni timu kwa mafisadi kutuonyesha kweli alituibia ndio maana anagawa hela kila mahali , tuwe makini!!
 
Sumaye kasema watanzania tushaanza kupigwa mnada na mafisadi. Tena ni timu kwa mafisadi kutuonyesha kweli alituibia ndio maana anagawa hela kila mahali , tuwe makini!!
Kuna vitu vinashangaza katika taifa hili mojawapo ni hili suala la Watu kugawa Fedha wazi wazi Huku mamlaka zikiangalia tu
 
Sumaye kasema watanzania tushaanza kupigwa mnada na mafisadi. Tena ni timu kwa mafisadi kutuonyesha kweli alituibia ndio maana anagawa hela kila mahali , tuwe makini!!
Tofauti na Mwalimu alivyosema, siku hizi Ikulu kuna biashara kubwa sana.
Ukiingia hapo wewe ni mfanya biashara namba moja nchi hii, na ndio maana wenye pesa nyingi sana kama Lowassa wanataka kuingia hapo ili wafanye biashara zao kilaini.
Ukiwa rais, TRA yako,Polisi, yako, Uasalama yako,fedha ya benki kuu yako. Mitaji yote yako na soko la watu milioni 45 lipo la uhakika.
Acheni watu wauane kugombea biashara za Ikulu.
 
Kwa mbinu hizi ningumu kwa takukuru kuwakamata kwani wao wamekuja na mbinu mpya ya kuwawezesha vijana kujipatia kipato ndo maana wanaanza mapema kabla ya kampeni nakampeni zikianza ni maneno huku wakipaza sauti kwanaotumia hongo kutafuta kura kumbe wao walifanya vitendo hivyo kabla!
 
Kuwakamata inawezekana ikawa ngumu lakini inawezekana kufuatilia kujua pesa wanapata wapi na kuwadhibiti au kufuatilia kipato chao, Mtu Kama January heal yote hii anapata wapi? Si mfanyabiashara ni waziri tu.
 
kwa akili yako fupi, unadhani wote ni wakuchukua Buku 4 kama wewe.
Mambo ya CCM hayakuhusu..

Ccm hamna ujasiri wa kuwajibishana ,acha longolongo yako.Chadema hawaangalii sura ya mtu.Paka shume wewe,nenda Lumumba kachukue buku 4 sasa.
 
Si siri tena kwamba bwana Lowassa anausaka urais kwa udi na uvumba. Anamwaga millions of money makanisani na misikitini. Ukija kwa Makamba, ukamcheki vizuri unagundua kuwa kijana ana kiu kuu ya urais na mahali alipofikia, yuko tayari kunywa hata mkojo(rushwa) ili afikie malengo. Juzi amemwaga simu za gharama kwa vijana huko Zanzibar wakati Mwanza ameahidi pikipiki za millions of money kwa vijana. Style zao wote wawili hazitofautiani. Ni watu wenye lengo moja hawa na kamwe ccm msijiloge kuamini kwamba E.L na J.M ni mahasimu. Ninachokiona mimi ni formation ya game ambayo imesukwa kiufundi. Lowassa alichofanya ni kumtumia J.M kwakuwa ni kijana makini na ana ushawishi kwa vijana. Kitakachotokea Mwishoni J.M atampisha Lowassa na kama Lowassa upepo hautamwendea vizuri basi awe amempachika Rais wake J.M. Kwa ccm hiyo ni game hatari msipochukua hatua hao jamaa wanawaulieni chama asubuhiasubuhi. Ni ushauri tu nimeutoa bure kwenu!. Mnaweza kuupuuza ama kuufanyia kazi. CCM oyeeeee+peoplesssss poweeeeeeeeer+hakiiiiiiiiiiiiiii!
 
ushauri wako ni mzuri sana lakini ccm ni sikio la kufa
 
Kinachoniuma zaidi ni vijana wengi kuaminishwa na kuamini kwa el ndo mwana ccm au mtanzania anayefaa kuwa raisi,poor tanzanians,dah hii kitu inaniuma sana!
 
Back
Top Bottom