Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
MH LISSU, baadhi ya Waswahili watakuambia, Ukimya nao ni Jibu .
Mimi Mdogo wako nakuambia La Hashaa !! Kwenye kupigania Haki yako, usiache kupiga kelele ,piga kelele mpaka wasikie wale ambao haikupaswa wasikie.
Unakumbuka kisa Cha Kipofu aliposikia vishindo vya watu wakipita, wakipita kelele, akauliza, Kuna nini hapa? Wale watu wakamjibu, YESU wa Nazareth anapita.
Kipofu aliposikia Hilo, akaanza kupiga kelele akiita, Ewe Yesuuu Yesuuuuuu wa Nazareth.....
Walewale watu walimwambia, Acha kupiga kelele, Kaa kimya,,, wengine wakaenda mbali sana na kumvuta nyuma nyuma yule Kipofu.
Lakini kwakua Kipofu alikua kwenye Haki akitafuta uponyaji, alizidi kupaza sautii, ewe Yesuuuuu Yesuuuuuuuuu Yesuuuu.
Sauti ilomfikia YESU, naye YESU akarudi nyuma, hatimaye Kipofu akaponaa!!.
LISSU LISSU LISSU, Kwenye kupigania Unachokiamin, usiache kupiga kelele.
Usithubutu Kuacha Uongo uwe mkubwaaaa, Uongo wa FAM ukiwa mkubwaaa, Wafuasi watauamini, wakishauamin watakuona weee ni Mfitini .
Ndioo, Kama ambavyo LUAGA MPINA hupambana na watesi wake Kwa SHAHIDI ZILIZOJITOSHELEZA,, wewe ni nani ?.
Najaribu kusema kua, Ukikaa Kimya, Habari za Tuhuma ulizozitoa, na Leo FAM kuziita UZUSHI, uongo na kwamba Hazipo, utaonekana kweli wee ni Mkorofi tu ,mbinafsi na mwenye Husda.
Njia Pekee ya kuendelea kuaminika, ni KUJIBU MAPIGO, KUJIBU MAPIGO KUJIBU MAPIGO KWA SABABU UNA AKILI NA UNAJUA NAMNA YA KUJIBU.
kwakua MAPIGO yako yatajikita kwenye Kupiga vita Rushwa na mambo ambayo FAM kayakataa, basi SHAHIDI ZAKO zitapelekea wewe kuendelea kuaminika Chamani na kumvuruga zaidi FAM na Genge lake wakati huo huo CHAMA CHENU KIKIWA IMARA, japo kitapita kidogo kwenye mpito.
MH LISSU, inawezekana kabisa kua FAM kaambiwa akomae, Kwa makubaliano ya mwakan kupewa viti ( COVID-19) . .....maana yake ni nini??..
Ukikaa Kimya utakua Mpotezaji , na Hadi kwenye Uchaguzi unaweza shangaa unapigwa chini hivohivo.
Uchaguzi ni Mmoja tu...KUJIBU MAPIGO KISHA INGIA UCHAGUZINI KIFUA MBELE Ili hata ikitokea UCHAGUZINI ukafanywa Figisu, ni Heri, kuliko kusubiria upigwe chini Kwa Hila Kisha uhame chama, alafu ndio uanze kujibu hizi Maneno za Leo aloongea FAM.
ITISHA WAANDISHI, PIGA KOMBORA, RUDI KWENYE KAMPENI.