MH LISSU, Dawa ya Ng'ombe mkorofi ni kumshika mapembe yake, kwakua FAM amedai hamna Rushwa /Mkate /Abdul,, Itisha Waandishi wa Habari Ujibu mapigo

Kila zama na kitabu chake, kwa hili linalotokea kuna mambo mawili yatatokea
@ anguko la chama au anguko la Mbowe.
Kwanini, kwa mda huu wanachama wamemchoka Mbowe na wala sio kwa ubaya bali ni hali ya kibinadamu ndivyo ilivyo. Nakuanzia mda huu tegemea kuskia mabaya ya mwenyekiti tena yale ya kutisha na kumhusisha moja kwa moja kupotea kwa BEN SAANANE.
 
ni kutokujipanga tu
 
Duh!!!! Sasa itakua daily kuitisha press na kujibu????
Kazi zitafanyika kweli???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…