Kwahio waandishi wa habari ni wanyarwanda
Sio watanzania wao hawaruhusiwi kuona
Mnachotaka kionekane wazi?
Mheshimiwa waziri mkuu, Mizengo Pinda ametangaza kwenye kikao kilichowashirikisha baadh ya wabunge wa CCM kuwa atakayetetea kura ya siri atanyanganywa kadi ya chama! Vigezo na masharti yazingatiwe.
Chama cha siasa ni mkusanyiko wa watu wenye nia ya kuongoza taifa (na ambapo wananchi wana matakwa mengi na yanayotofautiana), kwa hivyo vyama vinachaguliwa na wananchi kwa kuelewa misimamo yao na sera zao. Waliopo bungeni wapo pale kwa niaba ya mimi na wewe kupitia chama, inachofanya CCM si kwamba inalinda maslahi ya chama tu bali na wapiga kura wao waliowachagua kwa kukielewa chama.
Kama mpiga kura kwakuwa sikupata kura ya maoni wala kuhojiwa kuhusu katiba, ni vyema chama nilichokipigia kura kilinde kilichonifanya kukipigia kura chaguzi zilizopita na popote maslahi yangu yanapo zungumziwa including kwenye bunge la katiba. Sasa wasitokee wanachama wenye misimamo tofauti ambayo aikuwa kigezo changu cha kumpa kura mwanachama wao hili aende kuniwakilisha, maana kuna vyama vingine vinavyojinada kwa mwendo mwengine ningeweza wapa kura yangu. Kwa maana hiyo kura ya siri ni kunilaghai mpiga kura nataka kujua umechagua nini kwa niaba yangu na kama ni zile sababu zilizonifanya nikipe kura chama chao na mwakilishi wangu. Vilevile chama cha siasa kina haki ya kulazimisha wanachama wake kulinda kanuni na misingi yao inayojinadi nayo kwa wananchi.
mambo mengine huwa yanazuiwa kwa7bu ya upumbavu wa watu wachache. Tatizo co waandishi wote wanafanya kazi kwa kuzingatia weledi wa kazi yao. Hao wachache ndo wamefanya wazuiwe wote. Ni sahh kabisa kuzuiwa.
WITO KWA WABUNGE WA BUNGE MAALUMU WAPENDA MABADILIKO YA KATIBA,CCM WAKIPITISHA KURA YA WAZI BASI MMUONDOKE BUNGENI MUWAACHE CCM WAJITENGENEZEE KATIBA YAO YA CHAMA.full stop ni kupotezeana muda kama niya thabiti ya kuwa na katiba mpya
wewe bongo lala kwani katiba ya nchi inaandikwa na vyama?
=============you are a diplomatic fool=============
Tunataka kura ya wazi kila mtu atusikie tunafanya nini kwenye bunge la katiba hakuna cha usiri hapa mambo yote wazi.
wewe simiyu yetu ni makalio kabisa,eti uwazi !upi huo mraya?kwenye mikataba hua ni siri tena inasainiwa mahotelin ila ktk hili mnajifanya eti uwaz,nyooo,!tangu lini kura ikawa wazi ikiwa hata katiba inaweka wazi kura ni siri?msifanye watanzania majuha was...en,...g..e nyie.
Tunataka kura ya wazi kila mtu atusikie tunafanya nini kwenye bunge la katiba hakuna cha usiri hapa mambo yote wazi.[/QU
Mbona hatuoni mkienda ch%ni kwa uwazi ili watu tuone.kama hali wezekani hilo ndivyo ilivyo ngum kwa kura ya wazi
Tunataka kura ya wazi kila mtu atusikie tunafanya nini kwenye bunge la katiba hakuna cha usiri hapa mambo yote wazi.
Tunataka kura ya wazi kila mtu atusikie tunafanya nini kwenye bunge la katiba hakuna cha usiri hapa mambo yote wazi.