Mh. Pinda; Mbunge wa CCM atakayetetea kura ya siri atanyang'anywa kadi!

Mh. Pinda; Mbunge wa CCM atakayetetea kura ya siri atanyang'anywa kadi!

Mambo mengine yanachekesha kweli, sasa hivi wameamua kupiga kura ya siri ili ijulikane kuwa kura ya siri au ya wazi
 
siamini hayo maneno ila kama kweli kasema hivo basi kweli lizee nalo limepotea mana badala ya kwenda kutetea katiba,wameenda kutetea chama na stil namlaumu aliewateua mana sijajua vigezo alivotumia ila bado naamini kuna makosa zaid katika uteuzi wake
 
Back
Top Bottom