siamini hayo maneno ila kama kweli kasema hivo basi kweli lizee nalo limepotea mana badala ya kwenda kutetea katiba,wameenda kutetea chama na stil namlaumu aliewateua mana sijajua vigezo alivotumia ila bado naamini kuna makosa zaid katika uteuzi wake