Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Wewe ndiyo hujui! Wahuni wawili baada ya kufanya Uhuni 2005, wakazidiana kete kwenye maslahi - Richmond etc etc. Muhuni mkuu akamzuia mwenzie kuchukua nchi kwa kikaratasi cha mfukoni hata hivyo mtu wake alishindwa. Long story make it short.Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Mfuko wa nani?!Magufuli lilikuwa jina la mfukoni la mwenyekiti wa chama cha mapinduziii.
Mwenyekiti ndie mastermind mkuu
Slowslow naye kapata washamba wenzie mnaona kama Mkombozi wenu sasa mmemsahau ht Lissu ambaye alipigwa risasi wakati Polepole akishangilia kutembea kwenye vieitiWatanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Nadhani huna kumbukumbu, nyerere alimkataa lowasa na si kikweteWatanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Magufuli lilikuwa jina la mfukoni la mwenyekiti wa chama cha mapinduziii.
Mwenyekiti ndie mastermind mkuu
Ww ambae hata hujawahi kuuona mlango wa makao makuu ya ccm unajifanya kujua sana kuliko aliyekua anaishi ndani yake.Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
JK, EL na Mbowe walisuka dili la maana.Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Acha ubishiHuyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Ni ajabuWw ambae hata hujawahi kuuona mlango wa makao makuu ya ccm unajifanya kujua sana kuliko aliyekua anaishi ndani yake.
Hizi sijui ni akili za wapi
Hivi mbona watu wafupi mnajifanyaga mnajua sana? Wewe na Polepole nani ana ukaribu na Ikulu?🚮😏Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Tuambie unachojua wewe! Chawa na Msukule ni kitu kimoja.Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.