MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

MH Polepole atoboa Siri : Mwaka 2015 bila Mstaafu Mkapa kusimama kidete , Wahuni walitaka kumpachika MTU wao kama Rais!

Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Haya wewe unayejua tuambie ukweli wote. Polepole amewatieni dole wahuni mnalikatikia tu huku mnatoa kila aina ya milio.
 
Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.


Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.

View attachment 3429243
Mkuu hii siyo siri... at least kwa baadhi ya watu kama mimi... Ndiyo maana watu wanahisi kuwa Mkapa ''alitangulizwa'' kabla ya Magufuli ili asilete tena kauzibe. Anyways, uchaguzi wa mwaka 2005, alifanya kosa kuwaachia wapite japo alikuja kuzinduka 2015. Zile fedha na mtandao uliojengwa kabla 2005, ilikuwa ni sababu tosha ya kumzuia Kkwete kwa hali yoyote ili asiwe rais. Laana inayotupata sasa hivi ni kwa sababu ya kuruhusu fedha zinunue urais 2005.
 
Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Hili ndio shida ya watanzania kila mtu mjuaji! Haya tuambie wewe unaejua ILIKUWAJE?
 
Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Wewe ni nani nchi hii mkuu?
Aliyeandika hivyo ni mwenezi mstaafu wa CCM,balozi na vyeo vingine sujui alivyovitumikia nchi hii.Yawezekana wewe ni mtu mkubwa sana behind ya ID.
 
Pole pole ni shujaa kwa watanzania Tulio wengi
 
Back
Top Bottom