Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 7,547
- 11,831
Kama ni chuki mtaani ni kubwa mno, watu hawamuelewi mama yenu so msimlaumu Polepole. Anachofanya Polepole ni kuwasaidia mjisahihishe, endeleeni kukaza fuvuPolepole ni mjenga chuki dhidi ya ccm na samia.Hana hoja anaongozwa na chuki