Kama ni chuki mtaani ni kubwa mno, watu hawamuelewi mama yenu so msimlaumu Polepole. Anachofanya Polepole ni kuwasaidia mjisahihishe, endeleeni kukaza fuvuPolepole ni mjenga chuki dhidi ya ccm na samia.Hana hoja anaongozwa na chuki
Wewe ndio hujui lolote, polepole sio mcheza kigodoro au muimba singeli labda uneanza kumfahamu baada ya hiliHuyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Kikwete ni mtu hatari sana nchi hii akitoka huyo nchi itakuwa salamaKama ni chuki mtaani ni kubwa mno, watu hawamuelewi mama yenu so msimlaumu Polepole. Anachofanya Polepole ni kuwasaidia mjisahihishe, endeleeni kukaza fuvu
Wewe ulifanya nini kuzuia (au baada ya) tukio la Lissu?Slowslow naye kapata washamba wenzie mnaona kama Mkombozi wenu sasa mmemsahau ht Lissu ambaye alipigwa risasi wakati Polepole akishangilia kutembea kwenye vieiti
Acha usenge wa polepole. Tumekuchoka sasa. Unataka kufa na nani kwani? Si ufe peke yakoWatanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Sasa mwaka huu "mhuni" ndiyo kashika ufunguo wa ikulu. "Ntu" wake lazima aingie ikulu, come 2030 mwana wa mhuni anachukua kiti.Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Jk ndio kiongozi wa wahuni, si umeona dalili zote mipango inasukwa Rizmoko naye aje awe mkuu huko mbeleni?!Huyu hajui lolote lilitokea 2015. Kwanini JK na EL mahusiano yao yaliharibika 2015? Sasa anatunga kila uwongo ili kutekeleza azma yake.
Unazoleta ni ramli chonganishi. Huna ushahidi wowote.Jk ndio kiongozi wa wahuni, si umeona dalili zote mipango inasukwa Rizmoko naye aje awe mkuu huko mbeleni?!
KUmbuka huyu mama naye alibebwabebwa na mkwere enzi hizo hivyo sasa hv analipa fadhila so jk anafanya chochote wakati huu hana wa kumshika mkono....wakati wa jiwe aliufyata!!.
Nimeamini hakuna mpumbavu kama huyu wakati polepole yupo kwenye nafasi walizima mitandao na ndipo watu walipoanza kutumia vpn kwamara yakwanza chanzo niwao au amesahau ukija tena nahuu ujinga utatukanwa sasa wenzako wakitolewa huwa wanatulia sijui uliokotwa wapi wewe kwani lazima ukae unapopataka Mungu hajakuteuwa wewe umeamua kusema kabisa imani nawaimani nyingine naowakisema imani itakuaje?subiri iishe miaka ujaribu nasera zako zaudini kamautatoboa.unasema hujibiwi watu wapo wanaandaa ushindi .ujibiwi namtuWatanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Tatizo lako unamuongelea Polepole unayemjua mitandaoni. Huyu anajua kuwa mtu aliyezima hila zao ovu ni nani na ndio maana anamshambulia. Nyie vijana hamjui lolote mnasombwa na propaganda za mitandao.Wewe ndio hujui lolote, polepole sio mcheza kigodoro au muimba singeli labda uneanza kumfahamu baada ya hili
Wewe nyumbu hujui chochote. Kaa kimyaTuambie unachojua wewe! Chawa na Msukule ni kitu kimoja.
Faida ya katiba mpya ni nini?kwenye kukataa hao wahuni?Wahuni walijinga mapema kutengeneza njia. Sahivi wanaenjoy life.
Tuliwapigia kelele sana tupeni katiba mpya mkatuona wasaliti. Ooh tunarudisha maendeleo nyuma. Oneni mnaanza kuparuana nyinyi kwa nyinyi.
Tunakoelekea ni pabaya zaidi kama yule mhuni 1 atakuwa bado hai
Propaganda,Mkapa ambae Yuko Nje ya CCM alikuwa na jeuri gani ya kumuamulia Rais?Watanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Hatari sanaWatanzania Sasa mnaelewa ni kwanini Vigo vya JPM vilitanguliwa na VIFO vya Mkapa!!.
Rais Nyerere aliwakataa Mzee Kikwete na Lowassa kua Marais wa Nchi akiwaita Wahuni.
View attachment 3429243
Ndio maana nasema wewe bado hujui chochote. Anachofanya slowslow ni kukata Bega ila asionekane kakata mkono.Hivi mbona watu wafupi mnajifanyaga mnajua sana? Wewe na Polepole nani ana ukaribu na Ikulu?🚮😏
We mwenye hoja unasemaje? Unabishana na mwenezi mstaafu wa maCCMPolepole ni mjenga chuki dhidi ya ccm na samia.Hana hoja anaongozwa na chuki
MKapa ndo aliinjinia, JK alitaka Membe awe RaisMagufuli lilikuwa jina la mfukoni la mwenyekiti wa chama cha mapinduziii.
Mwenyekiti ndie mastermind mkuu
Nadhani unapotoka na rudia kusoma tena. Kwani 1995 JK alikuwa na miaka mingapi? Na wewe kwa akili yako alivyoambiwa wewe bado una utoto unadhani alikuwa anaambiwa bado ananyonya? Mtu anaweza kuwa mkubwa kwa umri lakini akili ikawa kama ya mtoto wa primary, ndo alichomaanisha baba wa Taifa.Nadhani huna kumbukumbu, nyerere alimkataa lowasa na si kikwete
Alisema kikwete ni mtu safi ila 66umri bado ila baadae atapata,