instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Ukiheshimu Sheria mtaani kwako hutamjua hata balozi wa mtaa wako lakini ukivunja tu ndo utawajua viongozi wote.Sema tu kwa kwamba kumbe nchi inaweza ikajiongoza bila kiongozi.
Nchi iko kwenye Autopilot.
Unaweza ukajiondoa wewe tubaki sisi WatanzaniaEpuka kutumia maneno ya wingi kwenye mambo ya kindezi
Yes gentleman,1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki.
2. Uongozi ni mipango maana yake ni kupangilia vyema wasaidizi wako na kuangaza utendaji wao wa Kila siku na kuchukua hatua bila kujari watu watasema nini.
Mh. Rais wa JMT Dr. Samia Suluhu Hassan anaongoza nchi kwa utulivu na akili kubwa sana, ana control, plan, organize and coordinating haya mambo yamefanya nchi imekuwa calm na focused kwa kiwango kikubwa sana.
Nchi imekuwa strongly united ndo maana unaona maadui (wanaharakati) wanagonga mwamba kuanzia kwenye jamii hadi kwenye mitandao ya kijamii na mambo yanaenda kwa speed with accuracy.
Mh. RAIS pia ameweza kuimarisha diplomasia kwa kiwango kikubwa sana, nadhani uongozi wa Dr. Samia Suluhu Hassan ni wamfano kwa ulimwengu wa sasa unaohitaji akili zaidi badala ya nguvu.
Pia navutiwa na uongozi wa Mh. RAIS Dr. SSH...vile anavyodeal na migogoro ndani ya nchi na vile alivyounganisha mifumo ya kiusalama, hii pia imeonwa na Dunia kuwa Tanzania ni sehemu salama. mambo yote yanafanywa kwa akili kubwa sana huku Sheria za nchi zikiangazwa ipasavyo, ukivunja Sheria utashughilikiwa kwa Mujibu wa Sheria, hii maana yake utawala wa Sheria upo kwa kiwango kikubwa sana.
My take:
Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan ametufundisha sisi tunaotarajia kuja kuwa Marais kuwa uongozi ni kuwa na team imara na kuhakikisha inauzalendo kwa Tanzania na watanzania, nasema hivi kwasababu Kila mmoja anaona utumishi uliotukuka wa viongozi wetu kuanzia Mh. Rais mwenyewe Dr. SSH na wasaidizi wake.
Hongereni sana viongozi wetu kwa KAZI nzuri.
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu Mubariki Mh RAIS Dr Samia Suluhu Hassan na Viongozi wote: AMEN.
AMENI ๐๐ผ ๐๐ผYes gentleman,
Na si hivyo tu, bali pia Rais Dr.Samia Suluhu Hassan anatufundisha wazi wazi kabisa bila uchoyo kwamba uongozi ni kuonyesha njia. Uongozi ni hekima na busara, uongozi ni ustahimilivu na subra.
Lakini zaidi sana,
Dr Samia Suluhu Hassan, kama kiongozi na mkuu wa nchi anatufundisha kwamba, ili kufanikiwa ni lazima kuthubutu na kujizatiti kimkakati katika kuchukua hatua muafaka za makusudi, kwa maslahi mapana ya taifa, ndio tunaona Jiji la Dar Es Salaam na majiji mengine nchini ni masafi zaidi kuliko kipindi kilichopita.
Kwakweli mama ni shule, darasa na somo muhimu sana kwa vijana wenye ndoto za kua viongozi wa leo na hata kesho.
God bless Dr Samia Suluhu Hassan ๐ค
EvidenceUnaweza ukajiondoa wewe tubaki sisi Watanzania
Evidence ya niniEvidence
Naona umeshaamka.Kijana una hamu sana ya kulawitiwa na Abdul si ndiyo? Naona unajilegeza sana kwa mama mkwe wako
Karibu nawewe tule donationNaona mshafika kwenye kile chumba chenu cha kupost na kujesabu mabandiko.
Lumumba kuokota 7K sio mchezo.
Evidence ya niniIf you have no evidence, you have no right to spe
If you have no evidence, you have no right to speakEvidence ya nini
Be specific about the evidence you wantIf you have no evidence, you have no right to speak
Hali zinabadilika kwa kufanya kazi, lakini hatuna budi ya ku appreciate kazi nzuri na yakizalendo inayofanywa na Mh Rais Dr Samia Suluhu HassanMaradhi, ujinga na njaaa
Lakini uchawa ni janga jingine sana linawakumba vijana wadogo wakiamini watabadili hali zao! So sad ๐
Nakuonya sana kijana acha kujilegeza na kuleta shobo kwenye mambo usiyoyajua utabakwaNaona umeshaamka.
Hujaenda kuzindua ofisi Yako?
Mtaacha lini nyie Chadema kuzindua nyumba za kupanga kama ofisi....au mnachanganyikiwa?Nakuonya sana kijana acha kujilegeza na kuleta shobo kwenye mambo usiyoyajua utabakwa
๐ฎMtaacha lini nyie Chadema kuzindua nyumba za kupanga kama ofisi....au mnachanganyikiwa?