Mimi bado naamini kuna ambayo WHO wanaweza kuona inafaa zaidi kwa matumizi yetu lakini mbona chanjo za porio... pepunda ,Homa ya inni tulizikubali?Usifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.
We ni mjinga tufunge pharmacy zote kwa sababu almost dawa zote zinatoka kwa mabeberuUsifikiri hiyo chanjo ni bure. Ukienda kichwakichwa utaweza dhuru uchumi wa nchi kwa kitu ni conspiracy ya wazungu kuzinyonya nchi za wajinga. Ugonjwa kweli upo lakini risk na tiba ukweli halisi sio mambo ya kusimamisha uchumi wa nchi. Kila mtu akili kumkichwa..wajanja wenye kudhibiti dunia wako kazini.
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.Kama tulituma ndege kwenda kuleta dawa za mitishamba Madagascar,iweje tukatae chanjo yenye scientific aproval?
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
kwa hiyo suluhu ni kukataa chanjo? mbona za porio na nyingine tulizikubali na zimetengenezwa na wao?Covid 19 ilishindwa kuwaangamiza waafrika kama ilivyotarajiwa na baadhi ya wenye agenda za siri. Sasa bara la Africa limekumbwa na aina nyingine ya Covid 501-2v ambayo imetengenezwa na kuongezwa makali ili waafrika tupungue duniani.
Tanzania imevamiwa na strain mpya ya Covid 501-2v ambayo inauwa watu wengi nchini Zimbabwe na South Africa.
kama safari ya Madagascar!Nilitegemea serikali itume ndege na iagize sample za chanjo zijaribiwe kwa watu tofauti ili tujiridhishe lakini kuzikataa chanjo bila hoja za kisayansi nikujidanganya na kuto tenda haki.
Ni mnafki sanaUnakataa chanjo cha corona kwa hisia za chuki huku unapokea chanjo ya za watoto ya ndui,polio,nk,unapokea condoms,ARV,maziwa ya kopo,dawa za tb ipi tunazalisha
Hakika Bavicha ni wavivu wa kufikiri wanataka kila mtu afikiri kama wao.BAVICHA huwa mnanichekesha sana yani mnafikiri kila anayekubaliana na ninyi kwenye kila kitu basi ndio kamanda.................
Lumumba kuna mazwazwa waliotukukaView attachment 1655764