TANZIA Mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi, Dkt. Job Chaula afariki dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Hatari Sana!!!
 
Mumewe mwimbaji wa injili Jenifer Mgendi amempoteza mmewe mpendwa ndg Job Chaula.
Mmewe alipatwa na mauti baada ya sukari kupanda ghafla.
... kuna uzi mwingine humu kuhusu tanzia ya mhadhiri wa Ardhi University mwenye similar name! Kumbe ni mumewe? RIP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…