TANZIA Mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi, Dkt. Job Chaula afariki dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Halafu tumenyamaza na dunia inatuona. Why cant the world intervene?
 
Sio kila anayeugua corona anakufa acha kutisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uongo usiongee kitu usichokijua dr chaula ni mkwe wangu mkewe jenifa mgendi wala hayuko hoi kama unavosema na hajafa kwa covid 19 maana hakuwa tested ila alionekana ana shida kwenye mapafu ndo wakampeleka upanga na jana ndo alihamishiwa Muhimbili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mumewe mwimbaji wa injili Jenifer Mgendi amempoteza mmewe mpendwa ndg Job Chaula.
Mmewe alipatwa na mauti baada ya sukari kupanda ghafla.
Pamoja na serikali kutoa bei elekezi sukari bado haitaki kushuka.
 
Waafrika ni wazinzi "Trump" ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ tumrudie Mungu wandugu. Hili janga haliangalii tajiri wala mackini, mweusi wala mweupe, mnene wala mwembamba. Madhambi yamezidi tumrudie Mungu
 

Ujumbe huu usambazwe vyuo vyote vikuu Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ