TANZIA Mhadhiri Chuo Kikuu Ardhi, Dkt. Job Chaula afariki dunia wakati akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

Akili za kuambiwa tuchanganye na zetu, saysnsi ya nyungu ( kujifukiza ) imefeli
 
Utaratibu siku hizi umebadilika,badala ya watu kutoa pole kwanza tunaanza kujadili amekufa na nini...?
 
Tunaisha hivi hivi haki ya mungu
 
Pole sana ndugu wote na watanzania, Dada Jenifer nomba usimame kwa Mung kama ni mume utapata mwengine, ndio utapata hamu ya tendo lakini subiri mume usifanye zinaa
 
R.I.P
Mtakaokuwepo hai kama ni mimi, ww, na yyte yyle mkumbuke adui wa nchi ni nani mifanye makosa oktoba
 
COVID-19 doesn't mean death, chances za kupona ni nyingi zaidi.
 
Pole sana ndugu wote na watanzania, Dada Jenifer nomba usimame kwa Mung kama ni mume utapata mwengine, ndio utapata hamu ya tendo lakini subiri mume usifanye zinaa
On serious note , kutakuwa na uhaba mkubwa wa wanaume baada ya hili janga , sina takwimu sahihi ila rate ya wanaume kufa ni kubwa sana kulinganisha na wenzetu
muombee tu dada avumilie ujane wenye ukiwa sana, kama atabaki salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli jamaa ni muongo ila na wewe naye ni walewale. Sasa hivi nchi hai suspect wala kuwapima tena suspects wa Corona. Hivyo ukifikishwa hospital unapewa tatizo la upumuaji by default.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…