Ni kwamba hii post yako imeunganishwa na huu uzi au umepost mwenyewe humu?29 Dec 2020
Dodoma, Tanzania
Mvua yazoa Miundo-Mbinu, Abiria 700 wakwama
Abiria zaidi ya 730 waliokuwa wanasafiri kwa garimoshi kuelekea Dar es Salaam wakitokea mikoa ya Kigoma, Katavi na Tabora wamekwama katika kituo cha treni Dodoma baada ya miundombinu ya reli kuharibiwa na mvua katika stesheni za Kikomo na Igandu.
Source : Azam TV
Ni kwamba hii post yako imeunganishwa na huu uzi au umepost mwenyewe humu?
Kama ni hivyo unatuchanganya tu maana uzi unaongelea SGR wewe unapost kuhusu RELI YA KATI!!
Khaaaa!Hapo jiwe hatoki had azindue
Khaaaa!
7 January 2021
Tanzania to Sign $1.32 Billion Rail Contract With Chinese Firms
Tanzania will sign a $1.3 billion contract on Thursday for two Chinese companies to build a section of the East African country’s new standard-gauge railway network.
The link covering about 340 kilometers (211 miles) in the northwest of the country will be financed by the government at a cost of 3.06 trillion shillings ($1.32 billion), Foreign Affairs Minister Palamagamba Kabudi told reporters.
The signing of the agreement will be witnessed by himself and his Chinese counterpart, Wang Yi, who is scheduled to arrive for a two-day visit on Thursday, Kabudi said.
President John Magufuli, who secured a second five-year term at a general election in October, has pledged to continue upgrading the country’s aging infrastructure, including a 2,560-kilometer railway connecting Dar es Salaam port to land-locked neighbors at an estimated cost of $7.6 billion.
Tanzania awarded two separate tenders in 2017 and 2019 to Turkish firm Yapi Merkezi Insaat VE Sanayi AS to build more than 700 kilometers of high-speed railway from commercial hub Dar es Salaam to Makutupora in the center of the country at a combined cost of more than $3 billion.
©2021 Bloomberg L.P.
..Mantiki ya kujenga Mwanza to Isaka kabla ya Dodoma --Tabora--Isaka ni ipi?
January 14, 2021Na Charles Musiba,
"Inabidi reli wawe na kitengo cha preparedness kwa ajili ya mafuriko na majanga mengine ya asili yanayoweza kuathiri miundo mbinu yao, hii ikiwa na kusafisha na kutengeneza drainage systems zinazofaa badala ya kuwa wanasema mvua za aina hii hazijawahi kutokea! Wanatakiwa wawe na flood programs za 15, 25, 50 and 100 years! Tunatakiwa kuanza kuweka recodi za mvua (precipitation) katika kila kituo cha reli kama ilivyokuwa hapo zamani. Data hizo zinazopatikana zitasaidia sana katika ku-model disaster mitigation na kuweza kusimulate worst case scenarios kama kuna mafuriko. You need the base data kwa kazi kama hizi".
6 days ago
Ili iwe Rais kufikia Nchi jirani haraka..Mantiki ya kujenga Mwanza to Isaka kabla ya Dodoma --Tabora--Isaka ni ipi?
Naona ilifunguliwa, haya kapande uende kwenu chatoreli itafunguliwa july kabla ya uchaguzi, ili tupate kiki kipindi cha kuomba kura
..Mantiki ya kujenga Mwanza to Isaka kabla ya Dodoma --Tabora--Isaka ni ipi?