Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Miaka 15 ni kuendelea kutumika baada ya kukarabati sio inakarabatiwa kwa miaka15 acha uzwazwa
Wahandisi : Reli ya kati ihamishwe toka eneo la mafuriko na pia SGR kuchukua miaka 15 kukamilisha
 
John heche alisema hiyo reli yenu ya SGR ikiisha kufikia 2030 basi anarudi kuchimba madini anaachana na siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
leo 2020 tuna miaka miwili tangu SGR kuanza kujengwa ukichukua 15yrs tutakuwa tumebaki na 13yrs ndio mradi utakamilika.
haya 2020 + 13yrs =2033 ndio mradi utakamilika sasa hapo MH HECHE atakuwa amesharudi machimbo😃😃😃
Nb: MEKO alitoa mmrejesho kuwa atahakikisha .miradi yote ikiwemo SGR anaimaliza kabla hajapumzika😂😂😂😂
 
Hii miradi mikubwa ni ngoma nzito, bora sisi walipa kodi tukawa tunapewa taarifa kila baada ya robo mwaka. Wanasiasa wa CCM Mpya wao huongea kama SGR reli mpya itakwisha na kukamilika 2020.
 
10 Nov 2019
Masanja Kadogosa amesema mpaka sasa ujenzi wa Reli ya kisasa (SGR), umefikia asilimia 71. Ameeleza mpaka mwezi April 2020, kipande cha Dar es Salaam hadi Morogoro kitakuwa kimekamilika na kile cha Morogoro hadi Dodoma kikitarajiwa kukamilika mwaka 2021.

 
SGR kipande cha Dar Moro kuanza kazi labda 2021

Kuna vipande vingi kuanzia Dar havijamalizika.

Madaraja Ruvu bado

Station nyingi bado sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ccm sikio la kufa

Waiambiwa wavimbisha shingo mamaeeee zako!

Here’s the truth!
 
Leo nimemsikia MD akisema mkoloni alijenga mabwawa matatu yakikinga maji Hawa jamaa zetu wakayatelekeza yakajaa mchanga na kufa, kumbe maji yanayosomba reli na barabara yanatoka kenya!
 


Huyo Mhandisi ni msaliti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…