..reli ya Tazara ilijengwa toka mwaka 1970 mpaka 1975.
..reli hiyo ina urefu wa kilomita 1860 na ni ya kiwango cha cape gauge.
February 16, 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania
Usafiri wa reli kurejea February 21, 2020 reli ya kati kufuatia ukarabati
Reli ya kati iliyoharibika inatazamiwa kuanza kutumika February 21, 2020. Mizigo zaidi ya tani 16,000 yakwama bandarini Dar es Salaam kutokana na kusitishwa kwa usafiri wa MGR Reli ya mkoloni.
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, mhandisi Mh. Isack Kamwele alipotembelea maeneo ya mto Mkondoa kuona uharibifu wa reli ya MGR ya mkoloni na pia kwenda kukagua handaki namba mbili la reli mpya ya SGR kuona maendeleo ya ujenzi wa handaki hilo.
Kwa kutumia kiberenge, TRC RELI TV wakaamua kutembelea na kujionea kazi ya kuisogeza reli MGR ya mkoloni kiasi cha mita 10 toka mto Mkondoa. Kufanya hivyo wahandisi walichonga kingo za mlima na miamba iliyo pembeni mwa mto ili kuisogeza mita hizo 10 toka kandokando ya mto Mkondoa.
Source: TRC RELI TV
Mjinga wa karne hii.Inabidi jpm apambane sana kumuweka mtu wake ili aendeleze reli!lakini nikiingia mimi naipiga chini sitakagi ujinga kabisa!!!Stiglers wakati watu hawana maji wala umeme wa uhakika??
Kila boya humu ni juaji sijui Tanzania imekumbwa na niniMiaka 15 ni kuendelea kutumika baada ya kukarabati sio inakarabatiwa kwa miaka15 acha uzwazwa
February 16, 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania
Usafiri wa reli kurejea February 21, 2020 reli ya kati kufuatia ukarabati
Reli ya kati iliyoharibika inatazamiwa kuanza kutumika February 21, 2020. Mizigo zaidi ya tani 16,000 yakwama bandarini Dar es Salaam kutokana na kusitishwa kwa usafiri wa MGR Reli ya mkoloni.
Hayo yamesemwa wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, mhandisi Mh. Isack Kamwele alipotembelea maeneo ya mto Mkondoa kuona uharibifu wa reli ya MGR ya mkoloni na pia kwenda kukagua handaki namba mbili la reli mpya ya SGR kuona maendeleo ya ujenzi wa handaki hilo.
Kwa kutumia kiberenge, TRC RELI TV wakaamua kutembelea na kujionea kazi ya kuisogeza reli MGR ya mkoloni kiasi cha mita 10 toka mto Mkondoa. Kufanya hivyo wahandisi walichonga kingo za mlima na miamba iliyo pembeni mwa mto ili kuisogeza mita hizo 10 toka kandokando ya mto Mkondoa.
Source: TRC RELI TV
Stiglers wakati watu hawana maji wala umeme wa uhakika??
Umerudia kusoma ulichoandika kabla hujapost? Kwani Stiglers ni mradi wa kuzalisha nini? Sio umeme kumbe!
basi shida sana......Hapa angalau tunapata taarifa za kiuhakika za kitaaalamu za reli, changamoto ya eneo kijiografia, masuala ya athari za mabwawa yaliyotelekezwa na pia hali ya hewa ya mvua nyingi kupita kiasi. Hizi habari zilizo wazi zinatupa walipa kodi mwelekeo juu ya ukweli wa changamoto kubwa ktk miradi ya MGR na SGR.
Ila masuala ya fedha kuwezesha mradi kukamilika na mchanganuo wa tegemeo la marejesho ya faida kiuchumi bado hakuna habari za kutosha toka kwa wahusika .