Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

Mhandisi: Reli ya SGR mpya kuchukua miaka 15 kumalizika

March 23, 2020
Tanga, Tanzania

NAIBU Waziri wa ujenzi, ametoa siku saba

NAIBU Waziri wa ujenzi, ametoa siku saba kwa mkurugenzi wa shirika la reli, Masanja Kadogosa, kuunda tume maalum itakayochunguza chanzo cha ajali ya Kiberenge kugongwa na mabehewa yaliyotoroka.



Source : Azam TV
 
Hebu tuone kidogo

Kama Dar - Moro (appr 200km) tunaenda mwaka wa 4 bado; hizi namba zinamake sense
 
Hebu tuone kidogo

Kama Dar - Moro (appr 200km) tunaenda mwaka wa 4 bado; hizi namba zinamake sense
Hizi mamba zina-make sense kama mhandisi atapewa fursa ya kusimamia mradki wa SGR vinginevyo tutegemee kukamilika baada ya miaka zaidi ya 20 kwa speed ya leo. SGR imepangwa kuwa na zaidi ya km 1800 as the bird flies! Wafanyakazi wa Dar waendelee kuomba Mungu ifike Moro wahamie huko wafanye kazi Dar.
 
Majanga haya ya mafuriko yanaipata dunia nzima, siyo mambo ya kisiasa. Angalia majanga haya kwa wenzetu. Ningeshauri TRC wajenge diversion ya maji hayo ya mto badala ya kuhamisha reli

Norway
1585006173746.png

Ufaransa
1585006290074.png

Marekani
1585006398489.png
 
  • Thanks
Reactions: Ole
March 16, 2020
2020 Progress Video Standard Gauge Railway Line From Morogoro to Makutupora



Source: Yapi Merkezi
 
February 2020
Standard Gauge Railway Line From Dar Es Salaam to Morogoro Project

 
April 3, 2020
Kilosa, Morogoro

SGR RELI MPYA TANZANIA -
UJENZI WA HANDAKI NAMBA 4 NA 3 WASHIKA KASI , KIPANDE CHA MOROGORO - MAKUTUPORA SASA NI 30%




Source : SGR RELI TV
 
April 4, 2020

WAZIRI AAGIZA HOTELI ZA TRC ZIRUDI "MSIOGOPE HOTELI NAZIJUA NA WALIOBADILISHA MIKATABA"

Waziri injinia Isack Kamwelwe amesisitiza bodi ya shirika la reli Tanzania kuhakikisha mali zote za TRC zirudi mikononi mwa shirika la reli.



source : millard ayo
 
April 4, 2020
RASMI WA MFUMO WA UKATAJI TIKETI WA KIELEKTRONIKI TRC (E-Ticketing)



Source: TRC Reli TV
 
April 5, 2020

TRC YASITISHA USAFIRI WA TRENI KATI YA MPANDA NA TABORA KUFUATIA DARAJA LA MTO UGALA KUJAA MAJI

Kufuatia mvua kubwa kipande cha reli na daraja ktk njia ya reli Tabora - Mpanda kimeharibika na kuathiri mawasiliano kwenda kutoka Katavi Mpanda na Tabora. Pia kazi ya kurejesha ukarabati na hatimaye usafiri kupita itachukua siku 23 kwa kufanya kazi usiku na mchana kwa kumulika taa usiku, aamesema Mkurugenzi Mkuu wa TRC Masanja Kungu Kadogosa.


Source : TRC RELI TV
 
April 10, 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania

UJENZI WA RELI YA SGR MORO-MAKUTUPORA SASA NI 30%, SHUHUDIA UCHORONGAJI MAHANDAKI KILOSA



Source: TRC Reli TV

N.B
Mambo yanazidi kuwa mazito na kasi ya kazi ipo nyuma sana tofauti na tulivyoambiwa mwaka 2017. Ni vyema changamoto zinazochelewesha mradi huu kukamilika pia zikaelezwa kinaga ubaga.
 
July 25, 2018

FULL KIPINDI-UJENZI WA RELI YA KISASA TAZAMA MAANDALIZI YA UTANDIKAJI WA RELI AWAMU YA KWANZA HAPO JULY 25, 2018

Maelezo ya kina kwa kamati ya Bunge ya Kudumu ya Miundo-Mbinu walipotembelea mradi huo mwaka 2018 mwezi Julai na kupewa maelezo ya kina kabisa na wataalamu wahandisi juu ya mpangokazi, matarajio na utekelezaji wa mradi huo ktk kipindi cha miaka miwili watakuwa wamefikia wapi...


source: Trc reli tv
 
Mambo yanazidi kuwa mazito wapi? Mbona hio section ya Moro - DOM iko ndani ya mda na kuna uwezekano wa kukamilika kabla ya mda uliopangwa.

Mkataba wa hii section ni miezi 36.
April 10, 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania

UJENZI WA RELI YA SGR MORO-MAKUTUPORA SASA NI 30%, SHUHUDIA UCHORONGAJI MAHANDAKI KILOSA



Source: TRC Reli TV

N.B
Mambo yanazidi kuwa mazito na kasi ya kazi ipo nyuma sana tofauti na tulivyoambiwa mwaka 2017. Ni vyema changamoto zinazochelewesha mradi huu kukamilika pia zikaelezwa kinaga ubaga.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo yanazidi kuwa mazito wapi? Mbona hio section ya Moro - DOM iko ndani ya mda na kuna uwezekano wa kukamilika kabla ya mda uliopangwa.

Mkataba wa hii section ni miezi 36.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ngoja tusubiri, muda utajibu kama kazi hii itaweza kukamilika kwa wakati.

Ila TRC Reli TV inabidi jinsi wanavyoripoti taarifa zao wasione soni kutuambia changamoto zilizopo ktk mradi wa SGR Reli mpya.

Maana TRC Reli TV kukataa kutuhabarisha changamoto kubwa ktk mradi wa reli SGR kunazidi kuleta maswali mengi kwa wananchi, wabia (mabenki, wafanyabishara) na wadau (Rwanda, Burundi, DR Congo, Uganda) kuwa hakuna kitu kinachoitwa 'kufahamiana' na hivyo uwezekano wa nchi jirani na hata wafanyabishara wa ndani, wenye viwanda, migodi n.k kukata tamaa kuwa mradi huu unaweza kukamilika na kuanza kuangalia kwingine ili kujikwamua na tatizo la usafirishaji.

Mfano Mradi wa umeme mkubwa Ethiopia pamoja na hatua wanazopiga lakini pia walifanikiwa kuwaeleza wananchi na wadau ndani na nje, changamoto zilizopo na sababu zake na hii imefanya serikali ya Ethiopia kutohofia kuelezea hali halisi ya mradi huu mkubwa wa nguvu za umeme

The Ethiopian Grand Renaissance Dam


Source : CGTN Africa
 
January 31, 2020

Isaka- Kigali railway project is on course- Infrastructure Minister Gatete says

Source : Rwanda TV


Earlier on way back in 2018
Rwanda minister explains progress on Isaka-Kigali standard gauge railway project
24 May 2018
Earlier this year, Rwanda and Tanzania agreed to construct a 400km standard gauge railway connecting Kigali to the port city of Dar-es-Salam via Isaka. The infrastructure is expected to facilitate intra-regional trade and movements of goods for landlocked Rwanda. Joining CNBC Africa to discuss more on the project is Jean de Dieu Uwihanganye, State Minister for Transport.


Source : CNBCAfrica

 
April 10, 2020
Kilosa, Morogoro
Tanzania

UJENZI WA RELI YA SGR MORO-MAKUTUPORA SASA NI 30%, SHUHUDIA UCHORONGAJI MAHANDAKI KILOSA



Source: TRC Reli TV

N.B
Mambo yanazidi kuwa mazito na kasi ya kazi ipo nyuma sana tofauti na tulivyoambiwa mwaka 2017. Ni vyema changamoto zinazochelewesha mradi huu kukamilika pia zikaelezwa kinaga ubaga.

Dar-Moro imefikia hatua gani?
 
March 12, 2020
Tanzania to launch tender for SGR to Rwanda and DR Congo
The government of Tanzania has announced plans to invite international tenders for the construction of a standard gauge railway (SGR) from Isaka dry port to neighbouring countries of Rwanda and the Democratic Republic of Congo (DRC). Hassan Abbasi, chief government spokesperson and permanent secretary for the Ministry of Information, Culture, Arts and Sports revealed the plans and said that the government is in its final touches of negotiations.

“Tenders for the construction of the SGR project to Rwanda and DRC will be announced anytime from now, President John Magufuli had already given directives on construction of the Mwanza-Isaka SGR that will connect to the two neighbouring countries,” said Hassan Abbasi.

Also Read: Tanzania secures US $1.5bn loan for 550km of its SGR project


Tanzania SGR project
The chief government spokesperson also confirmed that feasibility studies for the SGR linking Tanzania and Rwanda have already been undertaken, adding that the two countries were now looking for financiers of the project. The rail link project is part of a US $14.2bn plan to build around 2,500km of standard gauge rail lines in the country over the next five years.

It is intended to reduce road congestion and decrease freight costs by 40%. Each freight train is expected to transport up to 10,000 tonnes, equivalent to 500 lorry-loads. It will also connect Tanzania to Burundi and Uganda, making it an important enabler of regional integration.

Tanzania will become the third country in East Africa to start enjoying modern railway services after Kenya and Ethiopia. Kenya was the first country in the region to start the construction of an SGR line, completing over 500km between Mombasa and Nairobi, and also inaugurating its passenger services in June 2017.
 
March 1, 2020
Toka Dodoma Makao Makuu
Tanzania

Kipande cha Reli ya Kisasa(SGR) Dar -Morogoro kuanza kutumika muda wowote kuanzia sasa

Msemaji Mkuu Dr. Hassan Abbasi ambaye pia ni katibu Mkuu wizara ya Habari asema trilioni 2.975 shilingi za kiTanzania zimetumika kipande cha Dar es Salaam Morogoro na kimemalizika kwa asilimia 75 . Hivyo msemaji mkuu athibitisha ndoto za serikali ya awamu ya tano chini ya CCM Mpya kuwa treni hiyo ya kisasa ya umeme itaanza kazi muda wowote ktk kipande hicho cha Dar - Morogoro.



Source: ITV Tanzania
 
Back
Top Bottom