Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

Mhariri: Diamond Platinumz aangukia pua tuzo za BET

Hawajafaulu chochote.

Wangefaulu ni pale angekua disqualified na kuondolewa kwenye kinyang'anyiro.

Ni kelele tu za wanaharakati uchwara.
Mkuu umewajibu kiuweledi sana. Wengine eti ameshindwa? Ameshindwaje wakati ni miongoni mwa watatu kati ya wanamuziki kibao wa Afrika! Akina Harmonize na Kiba watawasemaje sasa!
 
hana Mziki wa kushinda bet hapo kwenye kushiliki amejitaidi jitu Lina copy tu n.a. matusi tele Alaf akapambane n.a. fella kuti wa sasa. NADA
Mtapasuka kwa wivu wakishamba hivi afrika kuna wasanii wangapi mpaka diamond na wakina b.boy kuwa nominated ata hapo alipofikia inatosha. Kama ni safari ya mbinguni ni bado kama nusu km afike acheni UChoko .
 
Back
Top Bottom