Vitu kama hivi ni vya kuungana, siku zote panapotokea ushindani dhidi ya magharibi mwa Afrika, inapaswa huku mashariki tunakua kimoja, sema sijui baadhi ya Wabongo akili zao wanazijua wenyewe, wamempiga jamaa vita, huwa mnabeba majungu yaani mkipata pakutolea mnatirirka balaa ya kufa mtu, nimekua nafuatilia interviews kwenye Youtube, jamaa wanahojiwa na kutolea kashfa kali kali dhidi ya Diamond.
Muige namna Wakenya huwa tunachangamkia wanariadha wetu bila kujali milengo wala matabaka, uzalendo kwanza mengine tutayajadili ndani kwa ndani....
Ndugu yako ukimkuta anakung'utwa kwenye bar na wahuni, usianze kuwaza kuhusu bifu zako naye, ingia kwenye mapambano kisha baada ya hapo ndio utamhoji ilikuakuaje...
==================
Diamond Platnumz on BET Award red carpet last night.
Tanzania’s Diamond Platnumz was among African musicians and only East African nominated in BET award for the BET Awards 2021 in the Best International Act category.
The 2021 BET Awards were handed out on Sunday night and multiple award-winning Nigerian singer and songwriter Nigerian Artist Damini Ebunoluwa Ogulu aka Burna Boy was announced winner for the category.
Diamond was trying his luck as this was his third nomination after giving it a shot in 2014 and 2016 in the category of Best International Act Africa.
Diamond’s 2021 BET Award nomination stirred an intense hate debate towards the Bongo Flava star on social media. A number of Tanzanians, including fellow musicians, admitted to siding with Nigeria’s Burna Boy or WizKid on voting day.
Jokingly, some even said Burna Boy is Tanzanian-born, from Chato,.
In 2017, Rayvanny became the first artist from Tanzania to win a BET Award, after being crowned “The BET Viewer’s Choice Best New International Act”.
This made him the second artiste to win a BET Award from East Africa, after Eddy Kenzo from Uganda who won the International Viewers Award in 2015.
Other nominated artist for the category were: Wizikid (Nigeria), Aya Nakamura (France), Emicida (Brazil), Headie One (UK) Young T and Bugsey (UK) and Youssoupha (France).
Tanzania’s Diamond Platnumz was among African musicians and only East African nominated in BET award for the BET Awards 2021 in the Best International Act category.