Is Mungai still alive? lakini najiuliza kitu kimoja: Hivi huyu Mary alikuwa hafanyi ukaguzi wa fedha zake kama zinaingia benki? It is simple maana unajua kuwa ni muhula wa kulipa ada, inabidi uone hela inatuna kwenye akaunti zako za benki. Mama Mzembe!Joseph Mungai!!
Mungai kafa muda sana...i think 2015is Mungai still alive? lakini najiuliza kitu kimoja: Hivi huyu mary alikuwa hafanyi ukaguzi wa fedha zake kama zinaingia benki? It is simple maana unajua kuwa ni muhula wa kulipa ada, inabidi uone hela inatuna kwenye akaunti zako za benki. Mama Mzembe!
Inaonekana hiyo aliipiga kwa mda mrefu kidogo kidogoHuyo jamaa mjinga vihela vya shule vidogo sana ni rahisi kujulikana. Sasa mtu kalipa na mwanaye yuko hapo.Mkuu wa Shule hela hazioni ila wewe unadai wamelipa. Ni alilo hizo au matope.
Alijaribu kamba yake sasa imekatika.
Wazazi walikuwa wakilipa cash kwa huyo mhasibu au wakiingiza kwenye akaunti ya shule moja kwa moja?Huyo jamaa mjinga vihela vya shule vidogo sana ni rahisi kujulikana. Sasa mtu kalipa na mwanaye yuko hapo.Mkuu wa Shule hela hazioni ila wewe unadai wamelipa. Ni alilo hizo au matope.
Alijaribu kamba yake sasa imekatika.
Wana hela nyingi sana hawa na vyanzo vingi pia.is Mungai still alive? lakini najiuliza kitu kimoja: Hivi huyu mary alikuwa hafanyi ukaguzi wa fedha zake kama zinaingia benki? It is simple maana unajua kuwa ni muhula wa kulipa ada, inabidi uone hela inatuna kwenye akaunti zako za benki. Mama Mzembe!
Ana umri gani? Kila la kheri na maisha marefu kwake! Alipe atakapotoka.Bernald Mnyilenda aliyekuwa Mhasibu wa Shule ya Southern Highlands amehukumiwa kifungo hicho baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Iringa kumkuta na hatia ya kutumia kitabu ghushi cha Risiti na kupokea ada kiasi cha Tsh. milioni 97.
Mahakama hiyo imemkuta na makosa 22 baada ya kusikiliza Mashahidi 7 wakiwemo wakaguzi wawili, mmiliki wa shule hiyo, Marry Joseph Mungai na baadhi ya wazazi waliothibitisha kulipa ada na kupewa risiti zilizokwisha muda wa matumizi.
Hakimu Mkazi Mkuu Said Ally Mkasiwa, alikataa utetezi wa Mtuhumiwa aliyeomba kupunguziwa adhabu na kusema hajaona ushawishi, hivyo anastahili hukumu ya miaka 76 na kutakiwa kurejesha Tsh. Milioni 116.3.
Mungai alikufa kifo cha kutatanisha baada ya kunywa kinywaji kilichodhaniwa kuwa na sumu enzi za utawala wa JPM huko Jijini Darisalama.is Mungai still alive? lakini najiuliza kitu kimoja: Hivi huyu mary alikuwa hafanyi ukaguzi wa fedha zake kama zinaingia benki? It is simple maana unajua kuwa ni muhula wa kulipa ada, inabidi uone hela inatuna kwenye akaunti zako za benki. Mama Mzembe!
Huyu anaweza zalisha mtt fisadiHalafu mafisadi yanapeta mtaani..?!
Ni ndezi pekee atakaye toa hela pamoja na kukubali kufungwa.Yaani mnifunge hafu nirudishe na hela? No way.
Kasema wazazi eti wanamtegemea.Kimeumana kwa shemeji zangu Iringa ohooo. Hapo inamaana lakiri kuiba fedha sasa
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app