Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

Mhasibu afungwa miaka 76 kwa kufoji risiti na kujipatia tsh. mil. 97

Huyo aliyetoa hiyo hukumu amemuhukumu binadamu mithiri Kama yeye au ni Alien😳😳😳😳
 
Ni kweli kafungwa miaka 96 lakini yawezekana kwenye makosa yaliyo kuwa yakimkabili kila kosa lina kifungo chake na ukijumlisha vifungo hivyo ndio unapata miaka hiyo 96 na ikumbukwe pia yawezekana vifungo hivyo vikaenda pamoja
 
Ila waizi wakuuu wako na shangingi zao wanaendelea kula keki iliyojaa asali
 
Andhaa Kanoon... !!!

Walamba Asali na Wauza Nchi aliowasema Ndugai (akiwemo na yeye Binafsi kama mpenda asali) wanatoka scot free...
 
Back
Top Bottom