Sausi Alex JF-Expert Member Joined Jan 26, 2021 Posts 239 Reaction score 181 Aug 31, 2022 #41 Huyo aliyetoa hiyo hukumu amemuhukumu binadamu mithiri Kama yeye au ni Alien😳😳😳😳
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Aug 31, 2022 #42 Ajali kazini...
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Aug 31, 2022 #43 Anita Makirita said: Halafu mafisadi yanapeta mtaani..?! Click to expand... Andrew Chenge hata mahakamani hajapelekwa hadi leo
Anita Makirita said: Halafu mafisadi yanapeta mtaani..?! Click to expand... Andrew Chenge hata mahakamani hajapelekwa hadi leo
B bitimkongwe JF-Expert Member Joined Oct 21, 2009 Posts 7,794 Reaction score 7,551 Aug 31, 2022 #44 Extrovert said: Ni ndezi pekee atakaye toa hela pamoja na kukubali kufungwa. Click to expand... Kwani huwa anashauriwa? Mali zake huwa zinachukuliwa na kupigwa mnada na account yake ya benki inazuiwa.
Extrovert said: Ni ndezi pekee atakaye toa hela pamoja na kukubali kufungwa. Click to expand... Kwani huwa anashauriwa? Mali zake huwa zinachukuliwa na kupigwa mnada na account yake ya benki inazuiwa.
M MOREMI2006 JF-Expert Member Joined Sep 10, 2021 Posts 551 Reaction score 548 Aug 31, 2022 #45 Ni kweli kafungwa miaka 96 lakini yawezekana kwenye makosa yaliyo kuwa yakimkabili kila kosa lina kifungo chake na ukijumlisha vifungo hivyo ndio unapata miaka hiyo 96 na ikumbukwe pia yawezekana vifungo hivyo vikaenda pamoja
Ni kweli kafungwa miaka 96 lakini yawezekana kwenye makosa yaliyo kuwa yakimkabili kila kosa lina kifungo chake na ukijumlisha vifungo hivyo ndio unapata miaka hiyo 96 na ikumbukwe pia yawezekana vifungo hivyo vikaenda pamoja
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 70,785 Reaction score 186,690 Aug 31, 2022 #46 Show kali bitimkongwe said: Kwani huwa anashauriwa? Mali zake huwa zinachukuliwa na kupigwa mnada na account yake ya benki inazuiwa. Click to expand...
Show kali bitimkongwe said: Kwani huwa anashauriwa? Mali zake huwa zinachukuliwa na kupigwa mnada na account yake ya benki inazuiwa. Click to expand...
Tajiri Kichwa JF-Expert Member Joined Apr 2, 2017 Posts 9,021 Reaction score 22,016 Aug 31, 2022 #47 Ila waizi wakuuu wako na shangingi zao wanaendelea kula keki iliyojaa asali
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Aug 31, 2022 #48 Sasa ndo nini hiki
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Aug 31, 2022 #49 Andhaa Kanoon... !!! Walamba Asali na Wauza Nchi aliowasema Ndugai (akiwemo na yeye Binafsi kama mpenda asali) wanatoka scot free...
Andhaa Kanoon... !!! Walamba Asali na Wauza Nchi aliowasema Ndugai (akiwemo na yeye Binafsi kama mpenda asali) wanatoka scot free...