Unajidai unahuruma?Acha Lugha hizi. Msimamasi mzuri WA Mali ni mkuda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajidai unahuruma?Acha Lugha hizi. Msimamasi mzuri WA Mali ni mkuda?
Mahusiano ya kimapenzi?Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Duh kuna msela alimwmwaga....hafu itakuwa huyo msela ni marioo, kaona visenti vya benki anaenda kuhongwa mwingine[emoji848][emoji848]Ni mwanamke aliyeuwawa...alitekwa akachomwa siku moja kabla ya hafla ya kumtambulisha mchumba wake.wewe unafikiri inaweza husiana na nini
Leo ndo tumeaga muhimbili kesho kibaha...Bado Kuna sintofahamu haijulikani dear....au labda uhasama mtu akaamua kutumia hii scenario ya kwamba anaenda mtambulisha mchumba nikimuua(maana waliomteka walikusudia Hilo) itajuliana kama ni swala la mahusiano mambo ya alibi sijuiDuh kuna msela alimwmwaga....hafu itakuwa huyo msela ni marioo, kaona visenti vya benki anaenda kuhongwa mwingine[emoji848][emoji848]
Jus thinking
Kindaof but Bado sijajua Kwa kweli Kwa uhakikaMahusiano ya kimapenzi?
Kapora demu wa mtu huyo bila shaka mwenye demu ni mkurya kafanya yake 😀😀😀Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Inasikitisha sana, Apumzike kwa amani.Haya mambo bado yapo?!
Huenda kuna mchezo mchafu umefanyika na huyu ndio angekuwa shahidi muhimu wakaoona wamuondoe.
Kumbe huyo mhasibu ni mwanamke, nikajua labda ni jamaa. Ni mtu wa bank gani?Duh kuna msela alimwmwaga....hafu itakuwa huyo msela ni marioo, kaona visenti vya benki anaenda kuhongwa mwingine[emoji848][emoji848]
Jus thinking
CRDB.Itakuwa alimwaga msela.Kumbe huyo mhasibu ni mwanamke, nikajua labda ni jamaa. Ni mtu wa bank gani?
Well scenario inaweza kuwa mtu aliinvest sana kwake halafu akaja kuleta mambo ya kijinga. Imagine mtu anakuhudumia miaka yote akitegemea atakuoa halafu ndani ya week 1 tu unambadilikia na kumuona mshamba, sio kwa jitu la Mara 😀😀😀 lazma udedi.
Noma kweli, juzi kati kuna picha niliiona ya staff wa NMB Mlimani City upande wa Customer service pale kapostiwa kwenye status ya moja ya contact zangu kuwa kavuta. Nikawa nahisi ndio hilo sakata.CRDB.Itakuwa alimwaga msela.
Nchi hii ni shida ukiwa na kazi au ukiwa huna kazi yote ni taabu tu !!Huenda alikataa 10%
Ukiwa unakula usimguse mwenzio mkonoNchi hii ni shida ukiwa na kazi au ukiwa huna kazi yote ni taabu tu !!
May his soul rest.Alitekwa kama Leo jion kesho ilikua anamtambulisha mchumba wake...so wakamfunga na kumchoma na petrol.
Wasamaria wema ndo kumuokota akapelekwa muhimbili ....kauguzwa almost siku kama 4_5....na michango tumechangishana ya kuongeza nguvu kumuuguza maana alikua icu ila juzi akafariki..
Ninamfahamu na msiba naujua ila kisa Kwa kweli nahisi kinahusiana na mahusiano japo Sina uhakika maana unashindwa hata kuwahoji wafiwa .Kwa Sasa tunatazamana TU
Kwa udogo sana unaweza ukahusisha na mambo mengine ila nashangaa watu hapa mnahusisha na siasa
Hatarii. !!Ukiwa unakula usimguse mwenzio mkono