Mhasibu wa Benki atekwa, achomwa petroli porini

Mahusiano ya kimapenzi?
 
Duh kuna msela alimwmwaga....hafu itakuwa huyo msela ni marioo, kaona visenti vya benki anaenda kuhongwa mwingine[emoji848][emoji848]

Jus thinking
Leo ndo tumeaga muhimbili kesho kibaha...Bado Kuna sintofahamu haijulikani dear....au labda uhasama mtu akaamua kutumia hii scenario ya kwamba anaenda mtambulisha mchumba nikimuua(maana waliomteka walikusudia Hilo) itajuliana kama ni swala la mahusiano mambo ya alibi sijui
 
Mhasibu wa Benki ya BOA wilayani Kahama mkoani Shinyanga, Martha Towa (30), amefariki dunia baada ya kutekwa na watu WASIOFAHAMIKA kisha kuchomwa moto kwa kutumia mafuta yanayodhaniwa ni petroli wilayani Kibaha Mkoa wa Pwani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo akizungumza na gazeti la Nipashe ameeleza kuwa tukio hilo lilitokea Machi 3 mwaka huu, maeneo ya Mitamba mkoani Pwani, ambapo wasamaria wema walilijulisha Jeshi la Polisi kuhusu tukio hilo.

Alisema wasamaria wema walimkuta Martha, ambaye ni mkazi wa Kwa Mbonde akiwa na majeraha ya moto na kutoa taarifa polisi majira ya saa 4.30 usiku na polisi walikwenda na kumchukua kisha kumpeleka Hospitali ya Mkoa wa Pwani (Tumbi), Kibaha.

Alisema kuwa baadaye alihamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa matibabu zaidi na usiku wa kuamkia Machi alifariki dunia. Kamanda Lutumo alisema kutokana na mazingira yenye utata ya kifo hicho, Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi ikiwako kubaini sababu za kuchomwa moto.

Chanzo: Nipashe
 
Kapora demu wa mtu huyo bila shaka mwenye demu ni mkurya kafanya yake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Duh kuna msela alimwmwaga....hafu itakuwa huyo msela ni marioo, kaona visenti vya benki anaenda kuhongwa mwingine[emoji848][emoji848]

Jus thinking
Kumbe huyo mhasibu ni mwanamke, nikajua labda ni jamaa. Ni mtu wa bank gani?

Well scenario inaweza kuwa mtu aliinvest sana kwake halafu akaja kuleta mambo ya kijinga. Imagine mtu anakuhudumia miaka yote akitegemea atakuoa halafu ndani ya week 1 tu unambadilikia na kumuona mshamba, sio kwa jitu la Mara πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ lazma udedi.
 
CRDB.Itakuwa alimwaga msela.
 
May his soul rest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…