ndiyomkuusana
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 666
- 426
Kitu kingine kwenye upelelezi, huyo mpenzi wake aliyetaka kumtambulisha ana muda naye gani kwenye mahusiano? Hilo suala la msingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbna kanizidii mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Avatar [emoji125][emoji125]paja nje nje
Tukishajua muda wao wa mahusiano then tunaweza kupata jibuKitu kingine kwenye upelelezi, huyo mpenzi wake aliyetaka kumtambulisha ana muda naye gani kwenye mahusiano? Hilo suala la msingi sana
[emoji23] [emoji38] hahahaaDuuuh kwaiyo wanawake wenyewe ni maraika wa heli awaibi wala awadhulumu duuh kwel umewaza
Ukiachwa achikaKumbe huyo mhasibu ni mwanamke, nikajua labda ni jamaa. Ni mtu wa bank gani?
Well scenario inaweza kuwa mtu aliinvest sana kwake halafu akaja kuleta mambo ya kijinga. Imagine mtu anakuhudumia miaka yote akitegemea atakuoa halafu ndani ya week 1 tu unambadilikia na kumuona mshamba, sio kwa jitu la Mara [emoji3][emoji3][emoji3] lazma udedi.
Kwepa tuSasa mbna kanizidii mnooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaachika kirahisi kwa sakara sio kwa mtu aliye invest mawe yake 🤣Ukiachwa achika
Mawe siyo guarantee kwamba tutadumuUnaachika kirahisi kwa sakara sio kwa mtu aliye invest mawe yake 🤣
We aifon macho matatu huitaki na subaru forester 🤣🤣🤣 ya kuvimbia chuo?Mawe siyo guarantee kwamba tutadumu
Haya mambo bwana🤣
Ila personally siwezi muacha mwanaume aliyewekeza kwangu..
Nafsi yangu itanisuta sana na wanasemaga mkataa pema,pabaya humuita.
Nimeomba miaka mingi Mungu anipe mtu wa namna hiyo,halafu eti nimpate halafu nimuache!
Wanawake sometimes sijui inakuwaga mapepo😆
Na wanaume jamani,muache kutongoza wanawake waliokuwa taken.
Heshimu mahusiano ya watu,
Unamwambia vizuri kwamba upo kwenye mahusiano strong,mtu anaanza habari zake ooh I will make you happier than that!
Wengine kwa tamaa anakubali kuingia mkenge,unamtelekeza mwanaume aliyekuhangaikia muda wote
Jamani,Usipoweza kuridhika na unachopewa na mwanaume wako uliyenaye,hata aje nani hautaridhika.
Tamaa ni mbaya.
Infinix yangu ya laki na nusu inanitosha😂😂😂We aifon macho matatu huitaki na subaru forester 🤣🤣🤣 ya kuvimbia chuo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwepa tu
Acha kumbwela mbwela ww kama una updates za uchunguzi tupe apaAcha kukopi
Wana uchumbwa wa miezi sita mwamba. Je unataka kujenga hoja gani?Kitu kingine kwenye upelelezi, huyo mpenzi wake aliyetaka kumtambulisha ana muda naye gani kwenye mahusiano? Hilo suala la msingi sana
Duuh sio kwa kukopi huku
Aibu
Inawezekana hata huyo mchumba ukawa mchongo wa yeye kutafutwa, ili aingie 18 zao hao wauaji, kwa sababu hainipi akili alikubali VIP kupanda gari na watu,naamini kwenye Hilo gari mwanaume mchumba wake inawezekana alikuwepo ndani ya Hilo gari,ikamfanyaa aamini hao watu naye aingie ndani ya gari. (Ni mawazo yangu tu )Wana uchumbwa wa miezi sita mwamba. Je unataka kujenga hoja gani?
Lakini mchumba atakuwa na sababu gani ( Motive) ya kumdhuru Martha? Kama ni suala la urithi bado hawajaoana.Inawezekana hata huyo mchumba ukawa mchongo wa yeye kutafutwa, ili aingie 18 zao hao wauaji, kwa sababu hainipi akili alikubali VIP kupanda gari na watu,naamini kwenye Hilo gari mwanaume mchumba wake inawezekana alikuwepo ndani ya Hilo gari,ikamfanyaa aamini hao watu naye aingie ndani ya gari. (Ni mawazo yangu tu )
Inawezekana ,mchumba alitokea tu. ili adhima ya wahuaji itimie , inawezekana hakuwa na mapenzi ya kweli kwa martha.alikuwa na lengo la kumchomesha kwa waahuaji(Ni mawazo yangu tu)Lakini mchumba atakuwa na sababu gabi ( Motive) ya kumdhuru Martha? Kama ni suala la urithi bado hawajaoana.
Huenda ni usaliti ndani ya mapenzi