Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,422
Analijua Hilo atakamatwa ndo vizuri ili lile neno litimieWasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mh Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Mitano inamtosha tumepima mkataba unatosha sio renewableKuna mtu miaka 5 ya utawala imemtosha ,anatafuta njia ya kupumzishwa na ulimwengu
Hata Makaburu hawakujua athari za kumfunga Mandela mpaka yalipotimia.
Similarly, hata Farao hakujua gharama halisi ya kupambana na Musa until it was too late.
Halikadhalika,Wayahudi hakuamini kuwa Yesu hakuwa mwanadamu wa kawaida mpaka giza lilipotanda mchana kweupe baada ya yeye kufa msalabani kabila ya kuja kufufuka siku ya tatu.
Hivyo, kwa kuzingatia historia hii na maandiko haya, basi hata nyingi yawapasa kuyatenda myatendayo.
Yaani mtu aliyeshinda risasi 16 aogope kukamatwa?
Kama wana akili wamuache la sivyowatajipaka matope dunia nzima
Hatari kabisa yaani Lissu anawatia hofu hawalali kabisa kwani walitegemea arejee mfu lakini Mungu ni mkubwa!Kweli nazidi kuamini kuna watu walioko kwenye system hawakupenda huyu GENTLEMAN TL Hata apone....ila ya Mungu mengi.jamaa anarudi home..... Home sweet home and not otherwise.katika historia ya siasa za Tanzania sijawahi kushuhudia chuki za wazi wazi kabisa za kisiasa kama awamu Hii.
Ukweli mtupu, nguvu na ujinga vikichanganywa ni mbaya kuliko.Heri ya Mkapa alitumia nguvu na akili kuweka Mambo sawa.Waliobaki ni waumini wa nguvu bila akili.
Hawa watu watatuletea crush Wana amini nguvu inaweza tatua tatizoUkweli mtupu, nguvu na ujinga vikichanganywa ni mbaya kuliko.
Ni amri ya mahakama sio magu
Hayo masharti au hiyo mahakama haitambui yaliyomkuta Lissu? Kuna watu siku mkifa itakuwa sherehe ya kitaifa. Yani mnaushetani ambao hauvumilikiKosa
Kosa wanasema amekiuka masharti ya dhamana
Mandera[emoji735]=Mandela[emoji3514]Ulimbukeni mwingine! Unaanzaje kumfananisha TL na Mandera! Hebu tumieni viakuli vidogo mlivyonavyo kusoma historia vizuri!
Wasiojulikana kuendelea kutojulikanaMkisha mkamata mumfungulie mashitaka yafuatayo:-
1. Kumaliza risasi za mamlaka ya wauaji
2. Kufanya kiburi na kugoma kufa
3. Kwenda kutibiwa nje bila ruhusa ya mkuu
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Wasalaam, kuna taarifa kutoka chanzo cha kuaminika kuwa mh lissu atakamatwa kwa amri ya mahakamana pindi atapowasili. Inasemekana tayari police walishakabidhiwa arrest warrant kumkamata na kumnyima dhamana.
Mlio karibu na Mhe. Lissu mshaurini asirudi bora abadili gia angani.
Muda ni rafiki, maendeleo yana vyama
Kwani Lissu alikua kakimbia?Aje tu. hakamatwi.
Ila atakimbia weeeeeee ila atajileta tu.
Ni amri ya mahakama sio magu