Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Umejihesabu wewe ni mtu wa ngapi kuleta vitisho kama hivi hapa?

Bado una matumaini kuwa wewe ndiye utakayesikilizwa zaidi kati ya hao wengine wote?
 

Arrest warrant hiyo Kwiooo??? Tar 27 kama kawa afe kipa afe beki mwamba anaingia TZ , Huku tuna kibatala huku tuna Kambole dhamana itapatikana saa mbili asubuhi kabla jaji hajafika mahakamani.
 
Magufuli aache woga, ataondoka na Tanzania itasonga mbele.

Wakati wa Nyerere tulidanganywa eti akiondoka vita vingetokea na hadi akafariki hatujaona kitu, waliopo wanasonga mbele.

Hakuna mtu mkubwa kuliko nchi.
 
Pambavu sana..mtego wa kuwekea nchi huru hii unaanzia wapi Jomba. Nchi gani hiyo ipo juu ya Sheria zetu za ndani Jomba. .Hivi wewe na mke wako ndani kuna mtu wa nje anaweza kuja kuwawekea sheria na taratibu...Jomba angalia
Mpige mkeo kwa kigezo ni wako alafu uone kitakachokupata
 
Ata Arrest Warrant ikitolewa akikamatwa anapelekwa mahakamani kujieleza kwanini hakufika mahakamani.....
sababu nzuri nyingi tu anazo
 
Zile risasi zingemua wangemkamata Nani?
 
,Acha woga wewe kwani akikamtwa kwako so ndiyo itakuwa furaha
 
Asirudi kwa sababu ipi? Tanzania ni nchi ya watanzania wote si ya mtu mmoja atakavyo yeye ndiyo iwe hivyo hivyo!!
 
Robert Amsterdam founder of Amsterdam and Patners LLP

Huyu bwana ametetea kesi nyingi duniani tena kwenye mazingira magumu yenye udikteta uliokomaa kama Venezuela, Rusia, Brazil, Turkey...atashindwa hapa kwa madikteta uchwara??
Kwa malipo yapi? Pesa y kumlipa na kugharamia uwepo wake hapa unagharamiwa na nani?

Gharama za kuishi ugenini kule zimegharamiwaje? Gharama binafsi au chama?

Kama hilo limewezekana, kwanini tu asiendelee na maisha yake huko?

Nasikia, system ndio inayo groom raisi wa nchi, kama hatupo kwenye listi yake, atatumika tu kuichafua nchi bila kufanikisha hamu yake.

Amani ya nchi ni bora zaidi kuliko uvyama na ambitions za mtu binafsi.
 


Webmaster futa uzushi huu
 
Kweli kuna watu waoga sioni ata nguvu ya Lisu mpaka afanyiwe Ayo
 
Pambavu sana..mtego wa kuwekea nchi huru hii unaanzia wapi Jomba. Nchi gani hiyo ipo juu ya Sheria zetu za ndani Jomba. .Hivi wewe na mke wako ndani kuna mtu wa nje anaweza kuja kuwawekea sheria na taratibu...Jomba angalia
Dogo, uliwahi kusikia juu ya MANUEL NORIEGA wa Panama?

Huyu alikuwa jenerali wa jeshi, rais wa nchi huru, lkn alikamatwa akiwa madarakani, akatiwa pingu akarushwa kwa ndege hadi nchi nyingine akafunguliwa mashtaka fasta na kufungwa miaka kibao! I think that was in 1990
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…