Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Bora ungesema wakili wake atanyimwa Visa ya kuingia nchini
 
Haogopi kukamatwa

Jr[emoji769]
 
Atawekwa quarantine kwa Siku 14 tu maana Corona bado ipo
 
Daah,ama kweli tunatofautiana akili na kihemko ya kisiasa! Hivi kweli mkuu ukiwa na akili timamu bila kushawishiwa wala kushinikizwa na mtu yoyote unaamini Tundu Antipass Lissu atamshinda John Joseph Pombe Magufuli kwenye Uchaguzi mkuu 2020? Na uko serious?
 
Usimfananishe mandela na machizi
 
Akamatwe kwa kosa gani? Lissu hajawahi kuwa muoga kiasi hicho, ni lazima aje sasa mtake msitake.
 
Utawala wa CCM hauna tofauti na mashetani Mkuu, hebu fikiria wale MAMIA YA WAPEMBA waliouawa kule Pemba pasipo hatia yeyote. Hawa WAHALIFU siku zao zinahesabika.
 

Kila Mtanzania amesikia Rais Magufuli akiliagiza Jeshi la Polisi na Vyombo vingine va Ulinzi na Usalama kutokutumia nguvu wakti huu wa kuelekea Uchaguzi Mkuu....!!!
Ngoja tusibiri yajayo........!
 
Lissu anakuja nyie endeleeni na mipango yenu dhalimu hakuna cha kuogopa tena zaidi ya uoga wenyewe.
Bora arudi mwenyewe passport yake ibaki Safi kuliko kurudishwa na Interpol

Ila mkifika lango la ukonga mpite kimyakimya msijewapandisha mzuka wale jamaa wakawavunja Tena mikono
 
Hakuna anaejua madhara ya makosa kabla hajakosea.
 
Usiwe unapokea kila taarifa na kuitupia tu bila kuchuja,

Mahakama ya Tanzani haina ground za kutoa kibali (warrant) ya kukamatwa mtu ambae si mikosefu mbele ya mahakama hiyo.

Lissu ni mtuhumiwa katika mahaka ya Kisutu, ana kesi sita pale na zote zimesimama zinasubiri arudi zitaendelea kusikilizwa kama kawaida na Lissu ana dhamana.

Izingatiwe mahakama imekataa kukubali wadhamini wajiondoe ambayo ndio ingekuwa ground ya kumkamata akirejea. Kwasasa mahakama haihusiani na lolote litakalohusu kukamatwa ama vinginevyo. Ikiwa atakamatwa hilo litakuwa ni maagizo ya serikali na sio mahakama.

Nikushauri acha taharuki zisizokuwa na kichwa wala miguu...
 
Bora arudi mwenyewe passport yake ibaki Safi kuliko kurudishwa na Interpol

Ila mkifika lango la ukonga mpite kimyakimya msijewapandisha mzuka wale jamaa wakawavunja Tena mikono
Lissu ana kuuma eh 🤣🤣🤣
 
Lissu Ni mtu wa kawaida Kama makonda na gwajima aje tuomboleze tu, akifika chamsingi akabidhi diplomatic passport yetu
 
Karibu nyumbani Mh Lissu.Uchaguzi ndo unaanza sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…