Tetesi: Mhe. Lissu kukamatwa airport pindi atapowasili

Status
Not open for further replies.
Lissu lazima aje
 

Naam, ndiyo madhara ya kuwa na wanasiasa wasiokuwa na uwezo wa kufanya siasa. Ili kumuenzi mzee Mkapa mwaka huu wagombea urais wote washiriki mdahalo kama ule wa 1995. Mdahalo huo wa 1995 ulidhihirisha mbivu na mbichi!
 

Muundo tu wa tume ya uchaguzi ndio uhakika wa Magufuli, lakini kwenye uwanja sawa wa ushindani hutaamini macho yako. Na kushindana na mtu sio lazima umshinde, bali kura za mgombea yoyote wa urais huchangia idadi ya viti maalum vya ubunge. Kuna wakati Tyson alikuwa anaonekana hapigiki, lakini siku alipigwa ilibidi mpaka ang'ate.
 

Kukamatwa ni haki yake Sheria haziangalii sura wala ukibaraka wa Wazungu. Hivyo akikamatwa ni sawa apambane na hali yake.
 
Ata Arrest Warrant ikitolewa akikamatwa anapelekwa mahakamani kujieleza kwanini hakufika mahakamani.....
sababu nzuri nyingi tu anazo

Mahakama ya Kisutu ilishaamua siku nyingi kuwa hakuna mtu nchi hii asiyejua aliko Lissu!.
 
Ng
Kweli kuna watu waoga sioni ata nguvu ya Lisu mpaka afanyiwe Ayo

Nguvu ya Lissu siyo kushinda uchaguzi bali ni kupanda jukwaani! Hofu kubwa ipo hapo kama ambavyo sarakasi zote zilichezwa ili asirudi bungeni na kupata jukwaa la siasa. Kuna watu wanaamini kwa dhati ya mioyo yao kuwa hawana uwezo wa kupambana naye kwa hoja! Kwa hiyo njia pekee ni kumnyima jukwaa! Banana republic!
 
Hii ni case tofauti kabisa.jomba. Noriega alikuwa dikteta tofauti na huyu wetu, he is very smart anacheza Mule mule mwa sheria inavyosema. Mtu amezungukwa na magwiji wa sheria utamuweza vipi
 
Babeli
Imebidi nicheki jina lako mara mbilimbli na ili nisilisahau.

Nitakumbuka hiki ulichoandika hapa kila nitakapokuwa nakusoma humu JF.
Jomba cha ajabu ambacho umekiona hapo ni kipi..nadhani yote hayo kila mtu anayajua hapa tunakumbushana tuu..sana sana watu huwa wanajifanya kufichaficha ukiongea ukweli watu wanajifanya kushangaa
 
Mpige mkeo kwa kigezo ni wako alafu uone kitakachokupata
Hahaha hujaelewa Jomba. .nilikuwa namaanisha nchi kama nchi huru ina sheria zake zinazofuatwa..hakuna ukoloni mkoloni mzee wa kuendelea kututawali anymore
 
Advocate Amsterdam nguli wa kimataifa aliyesimamia kesi za wakina Fider Castro, Hugo chaves, ndio kesho anakuja rasmi bongo kunyoosha mawakili uchwara wa bongo.
 
So bora huyo Lissu aliyejipambania mwenyewe kuliko huyo Magu wako aliyetolewa jalalani na Mkapa,kukaa Serikalini muda Mrefu sio kigezo cha kuwa kiongozi mzuri, kama point yako ni kukaa muda mrefu basi mpeni Wasira Nchi,.
Jomba katika point zooote hizo umedaka issue ya kukaa muda mrefu serikalini tuuu...akili yako ndipo ilipoishia hapo kweli..are you serious...pita na point nyingine basi...one by one..usirukeruke
 
Robert Amsterdam founder of Amsterdam and Patners LLP

Huyu bwana ametetea kesi nyingi duniani tena kwenye mazingira magumu yenye udikteta uliokomaa kama Venezuela, Rusia, Brazil, Turkey...atashindwa hapa kwa madikteta uchwara??
kama hujaenda shule ya sheria au kufanya bar exam basi lazima mahakama kuu ikuidhinishe kupractise hapa Tanzania, sio rahisi namna hiyo.
 
Jomba cha ajabu ambacho umekiona hapo ni kipi..nadhani yote hayo kila mtu anayajua hapa tunakumbushana tuu..sana sana watu huwa wanajifanya kufichaficha ukiongea ukweli watu wanajifanya kushangaa
Wewe ni juha!
 
Jumatatu tunamkaribisha nchini Rais wa awamu ya sita uwanja wa JKNIA na jumanne tunamuaga Rais wa awamu ya tatu uwanja wa Taifa.
Ni siku mbili muhimu sana
Lucid dreams.
 
Tatizo LA nchi yetu wenye akili wako nyuma wajinga wako mbele wenye busara na waelevu wako nyuma kama hamjui no sawa na kujidunga kisu kwenye mapafu yenu wenyewe
 
Ni kweli maana tangu ijumaa polisi wengi sana wametanda viunga vya uwanja wa ndege
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…