OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
yeye mwenyewe sio kiongozi toka kwa Mungu,aliweka pingamizi la mchongo mgombea wa Chadema akatolewa na tume. Kisha bado wakaiba kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa wakili gani hujui mambo wewe?Kwa sisi Mawakili wasomi kuhoji ni jadi yetu. Nimesikia Mhe. Waziri Mkuu akizungumzia kuhusu madaraka yanatoka Kwa Mungu. Nikajiuliza tunao wabunge wa bunge la Sasa ambapo wapo waliopita bila kupingwa na wengine walipitishwa na tume kuipitia uchafuzi, je hawa wote wanatoka kwa Mungu?
Tuna viongozi kama akina Sabaya, je nao kwa matendo yao tuseme wanatoka kwa Mungu? Lakini Kwanini Mungu ametupa akili ya kujua mema na mabaya? Siyo kwa ajili ya kutumia akili hizo hizo kufahamu viongozi wanaotoka Kwa Mungu na wafuasi wa shetani? Je, tunapobaini Kiongozi huyu ajatoka Kwa Mungu Kwanini tusimtoe?
Nadhani tunataka kunyamazisha watu wasifikiri kuhusu viongozi wa kutoka kwa Mungu na wasiotoka kwa Mungu, tunataka kuwaambia Watanzania kila kiongozi anatoka kwa Mungu which is wrong. Tuendelee kuwafichua viongozi wezi, wasiotenda haki, waonevu, washirikina nk na tuwaondoe maana awqtoki kwa Mungu
Yeees!! Wewe sometimes huwa unanielewa...yaani dhambi ileile ya Majipu ikamtafuna Jiwe mchana kweupeeeeeee!! Mpaka leo anasota ahera! Damu ya tundu Lisu ilimwagika ardhini ndo inaKwahiyo Mungu alimtumbua Magufuli kwa utovu wa nidhamu akamsimika Hangaya! Huwa tunaongea bila kufikiri.
ni kweli kabisa ndo maana sirikali wanatoaga vibali vya kuendesha makanisa kirahisi tu!Wanasiasa hupenda kumtumia Mungu kuwafanya raia wawe chini ya utii wao.
Hakuna uchaguzi wowote umefanyika nchini kuanzia 2015! Sasa huo utawala mngeupataje??2015-2020 ilikuwa ni dhambi kubwa kuukosoa utawala, tulikuwa tunaongozwa na malaika, Nyambaf zenu