Mhe. Majaliwa amesema viongozi wanatoka Kwa Mungu, najiuliza hata akina Sabaya walipewa mamlaka na Mungu? Vipi kuhusu viongozi wa uchafuzi 2020?

yeye mwenyewe sio kiongozi toka kwa Mungu,aliweka pingamizi la mchongo mgombea wa Chadema akatolewa na tume. Kisha bado wakaiba kura
 
sasa wakili gani hujui mambo wewe?
Mungu huyo huyo alisema "acheni Magugu na Ngano viote pamoja""
Sabaya..makonda.wewe nk. ndo magugu yenyewe km hujui...weye na uwakili wako huo hutaki kufuata aliyosema Mungu??... Akisema amsema ni mpaka leo kauli yake ni thabiti...haichuji kamwe....
Mfano ni msaliti jude alikuwa gugu lkn aliishi na Mungu mwana. Tena hata baada ya kujinyonga yuko mahala pake!! elewa kifungu hiki siyo kuzimu"

Sasa wakili unataka ngano tyuuu!! Ivi mawakili nao mpo vilaza ivi??
Popote gugu halikosekanagi hata kwenye family level tu...kwenye huu mjadala wako hata wewe ni gugu...lkn hujijui tu....ndivo Mungu aluvosema sasaje!!
 
Wanasiasa hupenda kumtumia Mungu kuwafanya raia wawe chini ya utii wao.
 
Kwahiyo Mungu alimtumbua Magufuli kwa utovu wa nidhamu akamsimika Hangaya! Huwa tunaongea bila kufikiri.
Yeees!! Wewe sometimes huwa unanielewa...yaani dhambi ileile ya Majipu ikamtafuna Jiwe mchana kweupeeeeeee!! Mpaka leo anasota ahera! Damu ya tundu Lisu ilimwagika ardhini ndo ina
Mchoma leo!
Asivo na akili kaweka ma-ulinzi ya kumlinda weeee!!
Lkn covid ikamla dakika sifuri.na ile mibinduki....mailikopita yale ya kijeshi hayakufua dafu! Atapiga risasi kirusi cha covid?
 
Wanasiasa hupenda kumtumia Mungu kuwafanya raia wawe chini ya utii wao.
ni kweli kabisa ndo maana sirikali wanatoaga vibali vya kuendesha makanisa kirahisi tu!
Halafu wanashuka na vifungu km hiki " ya kaisaru mpe kaisare na ya Mungu mpe Mungu" au

Mamlaka zote huwekwa na Mungu":
 
2015-2020 ilikuwa ni dhambi kubwa kuukosoa utawala, tulikuwa tunaongozwa na malaika, Nyambaf zenu
Hakuna uchaguzi wowote umefanyika nchini kuanzia 2015! Sasa huo utawala mngeupataje??
Anzeni kwanza na #KatibaMpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…