Alishasema Tanzania ni tajiri we unawaza expensive tenaAll the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Na bado; subiri kidogo utakumbuka nyimbo nyingi tu....Sijui kwanini nimekumbuka huu wimbo.
Dah! Tena nilisahau trilioni 108 zetu kutoka Acacia!!Alishasema Tanzania ni tajiri we unawaza expensive tena
Najua right inside your heart you know that Stieglers Gorge is not a dream, ila una jikaza tu.Pole mkuu.Bwawa litajengwa mkuu, take my word. JPM is a man of action,not of empty words.
Mkuu Chige nashukuru umeliona hilo na kwa maoni yangu hilo ndiyo tatizo letu. Mradi ni mzuri sana lakini turudi kwenye planning kwanza kule tufanye prioritization ili miradi kama hii ndiyo ipewe kipaumbele in terms of resources allocation hata kama ni kidogo kidogo kila mwaka. Kuna nchi za wenzetu wana miradi kama hii lakini ilikuwa planned miaka 30 iliyopita. Why can't we borrow a leaf from them?All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Hizo pesa za viongozi kuzurura nje akizibana atajenga mradi wa Umeme , chezea Magufuri wewe ngoja anyoroshe nchiWatu wanabeza au wanamchora? Ahadi kibao lakini hakuna linalotimia. Milioni 50 kila kijiji mwaka jana ikawekwa mpaka kwenye bajeti, mwaka huu wala hamna kabisa. Sukari toka 1,800@kg mpaka 3,000@kg na yuko kimya, ndio ataweza huo umeme?
Yeye anachoweza ni kick za kufungia media na kukimbizana na wapinzani. Maisha yamekuwa magumu na hana suluhisho kabakiza mikwara tu.
Kwa wasio fuatilia mambo hawawezi kugundua uwezo wa Rais Magufuli pale anapo amua kufanya mambo makubwa hasa yaliyo washinda walio tutangulia. Ktk hili la umeme ni na thubutu kusema Magufuli atafanya, Iwe kwa mradi huu au mradi mwingine wowote wenye lengo la
kuzalisha umeme Tanzania.
Rais Magufuli analipa kipaumbele swala hili la umeme akijua kwamba mambo mengi aliyo yaanzisha na anayotaka kuyaanzisha yana tegemea nishati hii ya umeme ambayo imekuwa adimu na yenye kutumiwa vibaya na wala rushwa.
Mungu amsimamie ili aweze kulitimiza hili kwa maendeleo ya nchi yetu. Penye kustahili pongezi ni vema tuka pongeza tu kwani ameweza kufika katika eneo la mradi na kufanya mazungumzo na wahusika na tumesikia kauli zake. Nina Imani ATAFANYA.
Ahadi ya 50 million hakutoa JPM, ilikuwa ya Vasco Da Gama.Nadhani unalijua hili.Ile 50m kila kijiji huko kwenu mmeipata? Maana mwaka jana ilikuwa kwenye bajeti, ila mwaka huu hata kuongolewa haijaongelewa. Sasa sijui ukisema man of action unamaanisha nini.
Pesa kutoonekana mtaani ni sababu ya kutokuwepo miradi inayotekelezwa .sasa wewe unakuja kinyume chake.miradi ingekuwa hipo ndio ingeleta pesa mtaani .umesahau pia Mwaka Wa fedha 16/17 miradi imetekelezwa kidogo 38% ndio maana hakuna mzunguko mkubwa pesa .[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa hela msiyoiona mtaani utaiona kwenye miradi.Subiri,ikikamilika tafuteni namna ya kukosoa.
Ahadi ya 50 million hakutoa JPM, ilikuwa ya Vasco Da Gama.Nadhani unalijua hili.