Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

Mungu mjalie Rais wetu atekeleze yote
Kwa hapa tulipofikia tumebaki nyuma,yatupasa kukimbia
Viwanda kwa kutegemea chanzo kimoja cha mapato ni shida
Mnaompinga Rais wenu kazi mnayo
 
Shein ashitukia Mikataba ya Mafuta na gesi... ampongeza Magufuli...
 
Fungeni vibwebwe tujenge ujamaa!
Sijui kwanini nimekumbuka huu wimbo.
 
All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Alishasema Tanzania ni tajiri we unawaza expensive tena
 
Tabia ninayo iona hapa ipo hata mitaani kwetu....... ukiwauliza wasanii hata muulize Diamond platnumz atakwambia wakati naanza kunawatu walisema siwezi kuimba siwezi kufika mbali.......hii tabia ni yakiasili zaidi kwa wa Tanzania, na baadhi ya binadamu wengi duniani......... Hawawezi kuappriciate wakati una hustle, watakubeza tu,.....
 
Kwa wasio fuatilia mambo hawawezi kugundua uwezo wa Rais Magufuli pale anapo amua kufanya mambo makubwa hasa yaliyo washinda walio tutangulia. Ktk hili la umeme ni na thubutu kusema Magufuli atafanya, Iwe kwa mradi huu au mradi mwingine wowote wenye lengo la kuzalisha umeme Tanzania.
Rais Magufuli analipa kipaumbele swala hili la umeme akijua kwamba mambo mengi aliyo yaanzisha na anayotaka kuyaanzisha yana tegemea nishati hii ya umeme ambayo imekuwa adimu na yenye kutumiwa vibaya na wala rushwa.

Mungu amsimamie ili aweze kulitimiza hili kwa maendeleo ya nchi yetu. Penye kustahili pongezi ni vema tuka pongeza tu kwani ameweza kufika katika eneo la mradi na kufanya mazungumzo na wahusika na tumesikia kauli zake. Nina Imani ATAFANYA.
 
Najua right inside your heart you know that Stieglers Gorge is not a dream, ila una jikaza tu.Pole mkuu.Bwawa litajengwa mkuu, take my word. JPM is a man of action,not of empty words.

Ile 50m kila kijiji huko kwenu mmeipata? Maana mwaka jana ilikuwa kwenye bajeti, ila mwaka huu hata kuongolewa haijaongelewa. Sasa sijui ukisema man of action unamaanisha nini.
 
All the best! Angekuwa na prioritization management hilo lingewezekana kabisa lakini dah, Magu ni kama hajui aanze na kipi amalize na kipi! Stiegler ni very expensive project ndo maana wenzake walishindwa. Sasa kufanikisha huo mradi alitakiwa kuachana na miradi isiyo na impact kubwa kiuchumi kama vile ununuzi wa ndege.
Mkuu Chige nashukuru umeliona hilo na kwa maoni yangu hilo ndiyo tatizo letu. Mradi ni mzuri sana lakini turudi kwenye planning kwanza kule tufanye prioritization ili miradi kama hii ndiyo ipewe kipaumbele in terms of resources allocation hata kama ni kidogo kidogo kila mwaka. Kuna nchi za wenzetu wana miradi kama hii lakini ilikuwa planned miaka 30 iliyopita. Why can't we borrow a leaf from them?
 
Watu wanabeza au wanamchora? Ahadi kibao lakini hakuna linalotimia. Milioni 50 kila kijiji mwaka jana ikawekwa mpaka kwenye bajeti, mwaka huu wala hamna kabisa. Sukari toka 1,800@kg mpaka 3,000@kg na yuko kimya, ndio ataweza huo umeme?

Yeye anachoweza ni kick za kufungia media na kukimbizana na wapinzani. Maisha yamekuwa magumu na hana suluhisho kabakiza mikwara tu.
Hizo pesa za viongozi kuzurura nje akizibana atajenga mradi wa Umeme , chezea Magufuri wewe ngoja anyoroshe nchi
 
Toka tulipoaminishwa kuwa Gesi asili ya Mtwara ikifika Dar tatizo la umeme litabaki kuwa historia sina imani na hawa jamaa

Maana bomba limetafuna ma bilioni ya Shiling sasa tunaambiwa na CAG linafanya kazi 4% tu.
 
Kwa wasio fuatilia mambo hawawezi kugundua uwezo wa Rais Magufuli pale anapo amua kufanya mambo makubwa hasa yaliyo washinda walio tutangulia. Ktk hili la umeme ni na thubutu kusema Magufuli atafanya, Iwe kwa mradi huu au mradi mwingine wowote wenye lengo la
kuzalisha umeme Tanzania.
Rais Magufuli analipa kipaumbele swala hili la umeme akijua kwamba mambo mengi aliyo yaanzisha na anayotaka kuyaanzisha yana tegemea nishati hii ya umeme ambayo imekuwa adimu na yenye kutumiwa vibaya na wala rushwa.

Mungu amsimamie ili aweze kulitimiza hili kwa maendeleo ya nchi yetu. Penye kustahili pongezi ni vema tuka pongeza tu kwani ameweza kufika katika eneo la mradi na kufanya mazungumzo na wahusika na tumesikia kauli zake. Nina Imani ATAFANYA.

Hakuna asiyependa kuona maendeleo shida ni pale ambapounajiuliza atapata wapi fedha za utekelezaji?

Kukopa tayari deni letu lipo kwenye taa ya njano very soon tutakuwa hatukopeshiki. Vyanzo vya ndani havitoshi labda kwa miaka mitano. Je mradi huo upo kwenye mpango wa miaka 5?

Lakini tuangalie pia kwenye gas ambapo baado tunaweza kuweka mitambo mingine kwa gharama (kulingana na uwezo wetu) na tukaongeza uzalishaji.

Huo mradi ubakie tu tukiwa tayari tuufanye. Ni kweli hydropower is the cheapest of all. Lakini tunaafanyaje wakati uwezo wetu kifedha ni mdogo
 
Ile 50m kila kijiji huko kwenu mmeipata? Maana mwaka jana ilikuwa kwenye bajeti, ila mwaka huu hata kuongolewa haijaongelewa. Sasa sijui ukisema man of action unamaanisha nini.
Ahadi ya 50 million hakutoa JPM, ilikuwa ya Vasco Da Gama.Nadhani unalijua hili.
 
Universe umeme bongo ni hatari upo ghari sana ndio maana unakuta watu wenye umeme hata wewe una jiko la gesi ndani ili kupunguza makali ya gharama sitakiwi kujua wamefungua kinyerezi au la ntakapoona umeme haukatiki hovyo na gharama zimepungua ntajua wamemaliza walichoahidi...
 
Kwa hela msiyoiona mtaani utaiona kwenye miradi.Subiri,ikikamilika tafuteni namna ya kukosoa.
Pesa kutoonekana mtaani ni sababu ya kutokuwepo miradi inayotekelezwa .sasa wewe unakuja kinyume chake.miradi ingekuwa hipo ndio ingeleta pesa mtaani .umesahau pia Mwaka Wa fedha 16/17 miradi imetekelezwa kidogo 38% ndio maana hakuna mzunguko mkubwa pesa .[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Back
Top Bottom