Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

Mhe. Samia Suluhu Hassan awakaribisha mabalozi wapya na kupokea Hati zao............ #wote wanaishi Kenya!!

Kun balozi flani sijui ni Denmark au Sweden au Netherlands hapa Nairobi ndo balozi yao Kubwa zaidi ulimwengu mzima ... Ofisi hio inawakilisha Somalia, Uganda, na nchi Nyengine kama tano hivi ....

---------
Alafu nafikiri pia Kenya inasaidiwa na kua tuko na UN Africa HQ ambayo pia ndo HQ ya UNEP kwahivyo balozi yeyote anayeletwa Kenya hua pia anakua mwakilishi wa nchi yao pale UNEP kwahivyo ana vyeo zaidi ya kimoja. Kwahivyo balozi za Kenya siku zote zitakua na wafanyikazi wengi kuliko balozi Nyengine hapa Africa... Labda kule Ethiopia ndo pia wako kama hivyo manake Kuna HQ ya AU
---------

Balozi ya Marekani Nairobi ndo balozi kubwa zaidi Africa (kwa wafanyikazi) na ya tatu kwa ukubwa duniani

--------

MR KNEEDLER: Morning, Mr. Secretary.

SECRETARY BLINKEN: Eric, good to see you.

MR KNEEDLER: Great to see you as well, and on behalf of the 1,800 people and 34 agencies and offices represented here at Mission Nairobi, I’d like to offer you a warm virtual welcome to Kenya. Mission Nairobi is your largest embassy in the Africa Bureau, and we’re proud of the work our diverse and talented team carries out on behalf of the American and Kenyan people.
-----------

Na kati ya embassy zote za EU duniani, EU embassy in Nairobi ndo ya pili duniani kwa ukubwa..
-----------
NAIROBI, Kenya

The European Union on Tuesday opened its second-largest embassy in the Kenyan capital Nairobi.

The embassy was officially opened by EU foreign policy chief Federica Mogherini who held a joint news conference with Kenyan Foreign Affairs Cabinet Secretary Monica Juma.

Mogherini said that unveiling of the new embassy is proof of Kenya's pivotal role as a regional hub and gateway to East and Central Africa.

Speaking to local media, Mogherini said: “We see Kenya as not only a gateway to the region and to Africa but also as an important hub. I was pleased to inaugurate our new EU embassy here in Nairobi; it is the second largest in the world and this is not by coincidence.”

She noted that during her meeting with Juma they discussed trade, blue economy and regional security matters.

Mogherini arrived in Nairobi following a visit to Mogadishu, Somalia.
 
Hahaha ila ukikaa kuangalia jinsi hawa slum dwellers walivyo empty kichwani ni kwa namna huwa wanashirikiana kujenga upumbavu wao kwenye mijadala

Huwa hawana tofauti na nyumbu wa Serengeti, kubwa jinga moja likisema ni no ni no one way kwa mengine yote na ndio maana hayanasuki kwenye njaa, ufisadi, umasikini, kiu, ukabila na mauaji

Em jiulizeni swali dogo tu kwenye huu mjadala wenu, je Tanzania wana ubalozi kwenye mataifa yao?

Jibu ni no hatuna uhusiano wa kibalozi wa moja kwa moja kwenye nchi zao as well yaani hata consulates hatuna in short hatuwatambui na kwa nchi nyingine Tanzania ina uwakilishi kwenye nchi zao same kama wanavyowakilisha nchi zao kupitia balozi jirani

Sasa cha ajabu kipi? Tena wao ndio wapo desperate sana na Tanzania na hii ni kuforce tuwaone relevant ili tuanze balozi

Wao kukaa huko kwenu hakuifanyi Tanzania iwe less, sababu Mbona office za WB zipo Tanzania na zinahudumia mpaka Zambia, Zimbabwe, Malawi, Mozambique from Tanzania?

Katika nchi zote duniani ni nchi chache sana zenye balozi kila nchi na sana sana mrengo wa kisiasa huchangia balozi baina ya nchi kuwepo au usiwepo, sera za Tanzania toka uhuru zinajulikana ni antiwestern, usitegemee hizo nchi tuwe na mahusiano nao back then

Factors ni nyingi ila sababu mkunya hakuwahi kupata akili so shangai
Na hio ofisi ya WB hapo Tz ikimaliza kuhudumia hadi Zambia, Zimbabwe, Mozambique kutoka Tz, wanakusanya ripoti na matokeo na kuyaleta Nairobi ambako ndo ofisi kuu wanakopata maagizo! Kwahivyo heshimu babako mkubwa... Mkishaleta matokeo yenu Kenya ndo Ofisi ya Kenya inakusanya vyote na kupeleka HQ kule marekani... Yani ofisi yoyote ya S.S Africa ikifanya makosa ni Ofisi ya Nairobi ndo inapigiwa simu kuulizwa kunani huko hebu control watu wako...

-----------

The office in Nairobi is the second largest building owned by the World Bank Group after its headquarters in Washington DC. Previously IFC and World Bank were operating from six different locations. The new building hosts nearly 300 staff working on national, regional and global programs. The IFC office in Nairobi also provides support to activities in Kenya, and the Southern and Eastern African subregions. The Delta Center will host the World Bank’s Global Center for Conflict and Development, the Sudan, South Sudan and Somalia Country office and the Regional Controller’s Loans office.

Loans zote za WB za nchi za sub Saharan lazima zipitie ofisi ya Nairobi! So ongea na unyenyekevu sije tukatumia wafanyikazi wetu kuwaondolea zero kadhaa kutoka kwa Hela mnazopewa na WB!
 
Kuna baadhi ya Wakenya mko na ujinga mwingi sana!!!Ukijua role na interest ya hizi balozi huwezi sumbua kichwa chako ku-argue,Kuna taasisi za nchi hizo hizo ambazo hazina balozi ndani Tanzania ila taasisi hizo zina manufaaa makubwa kuliko hata balozi zenyewe!!! Wakenya mshajichokea mnatafuta pakufia!!!Jengeni uchumi imara acheni hizi blah blah!!! Cheeeap!!!.
 
Sasa umekarisika?😂😂😂
 
Nje ya mada....
Rudi ndani ya mada.......
Hiyo ndio mada wewe uliona nchi gani mabalozi wanakaribishwa kweny mji ambao sio makao makuu. Taja mbili tu utapata zawadi ya donge nono.
 
we can argue and bicker all day everyday but things like these are a clear reminder that Kenya is the big brother in this region

the only reason those countries want to have Kenya as the base of operations is because Kenya is a transportation hub, has superior ICT infrastructure, superior economy, better diplomatic policies, and overall better connectivity to the world than Tanzania.
That is what you believe.
 
Na hio ofisi ya WB hapo Tz ikimaliza kuhudumia hadi Zambia, Zimbabwe, Mozambique kutoka Tz, wanakusanya ripoti na matokeo na kuyaleta Nairobi ambako ndo ofisi kuu wanakopata maagizo! Kwahivyo heshimu babako mkubwa... Mkishaleta matokeo yenu Kenya ndo Ofisi ya Kenya inakusanya vyote na kupeleka HQ kule marekani... Yani ofisi yoyote ya S.S Africa ikifanya makosa ni Ofisi ya Nairobi ndo inapigiwa simu kuulizwa kunani huko hebu control watu wako...

-----------

The office in Nairobi is the second largest building owned by the World Bank Group after its headquarters in Washington DC. Previously IFC and World Bank were operating from six different locations. The new building hosts nearly 300 staff working on national, regional and global programs. The IFC office in Nairobi also provides support to activities in Kenya, and the Southern and Eastern African subregions. The Delta Center will host the World Bank’s Global Center for Conflict and Development, the Sudan, South Sudan and Somalia Country office and the Regional Controller’s Loans office.

Loans zote za WB za nchi za sub Saharan lazima zipitie ofisi ya Nairobi! So ongea na unyenyekevu sije tukatumia wafanyikazi wetu kuwaondolea zero kadhaa kutoka kwa Hela mnazopewa na WB!
Wafanyikazi ndio watu gani? Kazi inafanywi au inafanywa, unafanyi kazi au unafanya kazi?

Jifunze kiswahili kwanza
 
Wafanyikazi ndio watu gani? Kazi inafanywi au inafanywa, unafanyi kazi au unafanya kazi?

Jifunze kiswahili kwanza
Kwikwikwi 😂😂😂 Hii ndo inatwa kupigwa 10 -bila ! Yani umekosa pa kukimbilia kabisa imebidi uanze kutafuta makosa kwa sentensi! 🕵️‍♂️🕵️‍♂️ Habari natumai umeipata, bado sisi ndo kusema ukanda huu! Itawachukua karne kadhaa kabla mjitoe kwa kivuli chetu ndo angalau kivuli chenu kionekane.
 
Kama kuandika wafanyakazi hujui mbele wala nyuma, kuongea na wewe kuhusu diplomatic matters ni kupakia mzigo wa 6 wagon trains kwenye baiskeli!
 
Kama kuandika wafanyakazi hujui mbele wala nyuma, kuongea na wewe kuhusu diplomatic matters ni kupakia mzigo wa 6 wagon trains kwenye baiskeli!
tenor.gif
 
Back
Top Bottom