Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

wale wanajiharibia wenyewe kwa kuendesha Bunge kichama chama. Kwa mwendo huo itawatokea puan!
 
Last edited by a moderator:
Kweli huyu mh makinda bora akae pembeni tu mbona mh sitta mambo yalikua safi kwa kifupi hawezi kuliendesha bunge analeta uchama bungeni ilihali akijua bunge ni chombo cha kutetea na kulinda haki za wananchi sasa ni bunge gani limegeuka kuwa wakala wa serikali hapo mwanatz anakandamizwa kila siku hakuna cha mwanamke ahurumiwe kama hawezi ataambiwa akichoshws achie ngazi itakua poa tu
 
Yani maana yake ni kwamba... kipindi cha ujanja ujanja kimeshafikia tamati. Kama hamuwezi kazi nyanyueni virago mchape mwendo yaachceni majembe ya komae na ishu za watanzania.. Tundu na wenzako komaeni
 
kwani hapa mnamzungumzia nani? Huyu?
makinda.JPG

mwacheni bana Analia...mnamsemaaa...ahaa

makinda 2.jpg
 
Kuwa serious mkuu, wamhurumie wakati hawezi kuongoza? acha wamsulubu hata afe kwa presha, hapo ccm watajua ubaya wa kuchaguana kwa ushabiki na uzandiki.
 
Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa jinsi ulivyo andika haya, naanza kuona kama kuna nuru imeeanza kukuangazia vile? Bado napata shida kujua kama huyu ni Pasco tuliyemzoea au mwingine? Anyway, watu pia hua wanatubu na kuacha dhambi na kumrudia Mungu wao, sembuse wewe bana?
 
CCM wanajisababishia penati kwa kunawa mpira golini kwako halafu wanamlalamikia refa ambaye ni wa kwako pia. Hii hatari kabisa
 
Uwezo mdogo wa Spika na Naibu wake ukiongezea na NYAKATI hizi ambazo ni vigumu sana kuficha ukweli UNAZIDISHA MAUTI YA CCM...
 
Pasco na wakuu wengine,mnaweza kutupa hayo makombora ambayo madam spika ameyapata toka kwa Lissu?

Tafadhali wengine tupo mbali na tv,na inaonyesha madam amenyanyaswa sana na akina Lissu.Tusaidieni Lissu amesema maneno gani hasa
Wewe ni miongoni mwa wahanga wa Digitali? maana nina jirani yangu yeye siku hizi anaangalia DVD tu TV haina kazi.
 
Pasco pamoja na wadau wengine mlioshuhudia session ya bunge asubuhi kwanini msitueleze kilichotokea ili na wale nambao hatukuwa na visimbuzi tujue Tundu Lissu kamfanya nini mama Makinda?
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mama Makinda.
Huko ndiko kutumika ulikokubali, sometimes you hv to pay the price, and it might be against yr will.

-Where is Andrew Chenge, when u need him deadly!

-Where is Rostam Aziz when u are starving to see him!

Jikaze mama, ukilia utaniliza.

Hivi hapa tuko jukwaa la jokes au mie ndiye nimepotea?

Mkuu Dark City ungejua ya nyuma ya pazia mpaka kufikia Mama Makinda kukabidhiwa uspika ungemuelewa Mkuu PakaJimmy.. Kama hukuelewa ndo unaweza kuona hii ni joke.. Ana maana kubwa kubwa..
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.
wanawake ni watu wa kubembelezwa sio BUNGENI ila chumbani labda:mwaaah:
 
Kwa jinsi ulivyo andika haya, naanza kuona kama kuna nuru imeeanza kukuangazia vile? Bado napata shida kujua kama huyu ni Pasco tuliyemzoea au mwingine? Anyway, watu pia hua wanatubu na kuacha dhambi na kumrudia Mungu wao, sembuse wewe bana?
Wewe humjui Pasco subiri msimu wa bahasha za kaki ufike ndio utamjuwa vizuri sana.
 
Huyo mama Makinda hapaswi kumlilia mtu yeyote, si kila anakumbuka alivuoingizwa kimizengwe n'a king maker wa nchi hiî Rostam, alipoingiza kipengele kuwa safari hii ni zamu ya mwanamke kuwa spika, ili tu wamng'oe mbaya wao Sitta huku wakijua fika kuwa kipengele hicho siyo tu ni cha ubaguzi kwa hiyo kinavunja katiba ya nchi bali pia hakikubaliki hata kwenye kanuni zao za Bunge!!!!
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

Hivi inakuaje kama ww ni askari uko vitani mstari wa mbele unakutana na adui yako ambaye n askari wa kike na ana siraha?
 
Kama alidhani uspika ni sehemu ya ulaji sasa cha moto anakiona. Kama sisi wabunge wetu wameenda kikazi zaidi na sio kupiga meza kuunga hoja mkono au..... sasa kama alidhani anaongoza vipofu, na akome sasa na itakuwa fundisho kwa wengine wajao!
 
Back
Top Bottom