Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bluetooth .... Ukitaka kujua maana ya anachomaanisha huyo myasis click kwenye hii link hapa chini ... soma hiyo paragraph then utajua maana
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/228877-sitopenda-tena-2.html#post3413902
.
Hivi hapa tuko jukwaa la jokes au mie ndiye nimepotea?
Wewe ni miongoni mwa wahanga wa Digitali? maana nina jirani yangu yeye siku hizi anaangalia DVD tu TV haina kazi.Pasco na wakuu wengine,mnaweza kutupa hayo makombora ambayo madam spika ameyapata toka kwa Lissu?
Tafadhali wengine tupo mbali na tv,na inaonyesha madam amenyanyaswa sana na akina Lissu.Tusaidieni Lissu amesema maneno gani hasa
Pole sana mama Makinda.
Huko ndiko kutumika ulikokubali, sometimes you hv to pay the price, and it might be against yr will.
-Where is Andrew Chenge, when u need him deadly!
-Where is Rostam Aziz when u are starving to see him!
Jikaze mama, ukilia utaniliza.
Hivi hapa tuko jukwaa la jokes au mie ndiye nimepotea?
wanawake ni watu wa kubembelezwa sio BUNGENI ila chumbani labda:mwaaah:Wanabodi,
Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.
Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.
Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.
Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.
Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.
Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.
Pasco.
Wewe humjui Pasco subiri msimu wa bahasha za kaki ufike ndio utamjuwa vizuri sana.Kwa jinsi ulivyo andika haya, naanza kuona kama kuna nuru imeeanza kukuangazia vile? Bado napata shida kujua kama huyu ni Pasco tuliyemzoea au mwingine? Anyway, watu pia hua wanatubu na kuacha dhambi na kumrudia Mungu wao, sembuse wewe bana?
Wanabodi,