Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

Mkuu Pasco!
Huyu mama ngoja yamkute kwani ndiyo gharama ya 'kutumiwa' katika kuzima hoja za watu!Pia wakati wa uchaguzi wa spika nakumbuka kuna mgombea mmoja alikuwa mwanasheria,ila kutokana na mambo ya ajabu ajabu akatokea mbunge mmoja wa chama tawala aka-provoke na kusema kuwa spika si lazima uwe umesoma sheria !ila nilijua time will tell tu.Believe me or not kwa huyu mama mtayaona mengi!
Kusuka na kunyoa ni style za kupendezesha kichwa!:majani7:
 
Ahaaa Mkuu Dark City nimekupata.. Mie mwenyewe cijamuelewa kabisa Pasco.. Najua huyu mama amewekwa na kambi ya boci wake na kwa maslahi yao.. Au ni mbinu za medani hapa zimekuwa applied..?

Halafu kwa uzoefu wangu na huyu mleta mada, huwa naona kama anaamua kuacha vitu vinaelea hewani au ni mwendelezo wa kampeni za mgombea wake!

Anyway, ni jambo la heri kwamba malipo ya wanafiki na watenda maovu dhidi ya nchi yetu yanaanza kulipwa kwa kasi mpya!
 
Kwaiyo hata kama anaharibu aonewe huruma kisa mwanamke? kwa tunaotaka taifa hili lisimame hatujali mwanamke wala mwanaume, wote watashikishwa adabu kwa kiwango kile kile.
 
premium1.png

Hivi vyeo vya JF, sivielewi. By the way ongera pasco
 
user-online.png
Mike McKee

20th June 2012 02:28
#1
JF Founder
admin.png
Array

Join Date : 10th February 2006
Posts : 328
Rep Power : 100000
Likes Received553
Likes Given712

[h=2]
icon1.png
JamiiForums Premium Member Subscription[/h] Ndugu wana JF

Awali ya yote, niwashukuruni nyote!

Tumeliongelea hili jambo kwenye andiko hii, Na sasa ni utekelezaji wake.

Lengo kubwa la kuanzisha utaratibu huu ni kuiwezesha JamiiForums kujiendesha kwa ufanisi zaidi ndani na nje ya Tanzania.

Tunayo mikakakati tuliyoianda ya jinsi gani tunafikiri JF inatakiwa iende, na tunaahidi kuwashirikisha kwanza "Premium Members" wetu kabla haijaanza kutekelezwa.

Hizi alama maalumu zitadumu kwa mwaka moja.

Baada ya mazungumzo marefu ya jinsi ya kupanga hii michango tulikubaliana hivi

Annual Membership Subscriptions

JF Bronze Member 20,000 - 99,000

JF Gold Member 100,000 - 249,000

JF Platinum Member 250,000 - 490,000

JF Tanzanite Member 500,000 - Na zaidi...

attachment.php

Utaratibu wa Malipo

M-Pesa

Tumefanikiwa kupata utaratibu mzuri sana wa kulipia kupitia M-Pesa. Utalipia Subscription Fee kama vile unavyonunua Luku au DSTV na kutuma kwenda kwenye number 888 888

Jinsi ya Kutuma

1. *150#

2. Bonyeza 4 (Pay Bill)

3. Bonyeza 1 (Enter Business Number)

4. Weka 888888

5. Enter Reference No. (tumia 1234)

6. Enter Amount (Weka kiasi unachotaka kutuma)

7. Weka password yako na kisha utume.

Ukishatuma, tuma PM kuja kwangu Mike McKee ukituambia receipt no. uliyoweka na jina lako unalotaka liwekewe Premium Member au tuma email kwenda premium@jamiiforums.com ukituambia receipt number.

CRDB Bank

Account Name: Jamii Media Company Limited
Account Number: 0150413278400
Branch: CRDB Waterfront

Ukishaweka pesa tuma SMS kwenda number hii 0755 642 929 kutuambia jina gani umetumia wakati unaweka hela, na nikiasi gani umeweka, na kutuambia jina unalotaka liwekewe alama maalumu (premium membership).

Sisi tutaithibitisha kwa alama maalum (icon) na kukuwekea kwa hilo jina.

Kwa wale watakaotumia malipo kwa njia ya mtandao (online transfer) ya CRDB, wanaweza wakatutumia receipt kwenda kwenye email ya premium@jamiiforums.com

WesternUnion

Name: Mike Mushi
Address: P.O.BOX 4203 Dar es Salaam
Phone: 0755 642 929
Email: premium@jamiiforums.com

PayPal

Tuma kwenda kwenye email hii premium@jamiiforums.com
 
wanabodi,

leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia tbc-1,
spika wa bunge, mhe. Anne makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja mhe. Tundu lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa spika, akamvurumishia tena spika makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, spika makinda ange break down kwa machozi!. (naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya mhe. Mama makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku mhe. Tundu lissu akiujua fika uwezo wa madam spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile mama makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba mhe. Tundu lissu na wabunge wengine wa kambi ya upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress madam spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu madam spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

pasco acha upumbavu kabisa wewe! Tumekuja kuoneana huruma bungeni hapa! Kama alikuwa hawezi kwa nini alikubali kiti...si wanasema haki sawa kwa wote? Mara wanawake tunaweza! Mara tukiwezeswa tunaweza! N.k sasa amewezeshwa analialia nini? Kwa nini walimkataa sita kama walijua hawezi huyu mama? Ndugu yangu pasco kwa uchambuzi huo naomba ufunge domo!
 
Leo nimemuonea huruma yule mama kweli hasa hoja ya kuwa kuna rufaa za toka mwaka 2011 hadi leo juu ya maamuzi yake hazijashughulikiwa, naona kawa mkali akiwa hana majibu , kutumikishwa ni kazi kubwa kweli kweli

Leo kupitia TBC,wakati madam spika anatoa mahamuzi ya kuahirisha bunge,kweli alipwaya sana kwenye uspika,nilimuona mzee sita spika wa viwango niliwashangaa ccm kwa kuitupa hii lulu,ni yeye tu angeweza kuwadhibiti akina lissu.
 
Pasco bana, so atakuwa amelowa siyo!? Duh! Hii kali..
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.
tatizo la spika ni kutaka kuibeba ccm,ajui kwamba ccm sasa hivi haibebeki imekuwa pembe la ngombe
 
Hahahahahahahahaha
hakuna mambo ya kusulubishwa wala nini! Kama ana ona kuwa viatu alivyo vi vaa ni vikubwa na havimtoshi kabisa bora aachane navyo kabisa kuliko kulialia!

Kama walimpa kiti kwa kigezo cha uanamke bila kuwa na sifa acha aonje joto!
 
Well done mheshimiwa tundu. We are together. Chapa mboko za kisawasawa.
 
Hamumjui Anne Makinda, muulizeni Mzee Six.

Ingawa sijakiona hicho mnacho kielezea lakini nna uhakika kama Tundu anafanya ujeuri kwa huyo mama basi aelewe kuwa anajigeuza pweza kujipalilia mkaa mwenyewe. Ataipatapata.

InshaAllah usiku ntatazama marudio kupitia Star TV halafu ntakuja kutoa mtazamo wangu.

Kwani mzee Six alishindwa na Anna Makinda au alishindwa na Mafisadi wakiongozwa na mkulu!!!!?
 
Wanabodi,

Leo nimepata fursa ya kuliangalia bunge live asubuhi hii kupitia TBC-1,
Spika wa Bunge, Mhe. Anne Makinda ameshindwa kabisa kuliendesha bunge!, amepwaya sana na ameendesha kika bila confidence kabisa na mwisho wa maelezo yake, akamtaja Mhe. Tundu Lissu kama ndiye mbunge anayeongoza kwa kuleta vurugu bungeni, na Lissu aliponyanyuka kuomba muongozo wa Spika, akamvurumishia tena Spika Makombora mazito, na kama angeendela kidogo tuu!, Spika Makinda ange break down kwa machozi!. (Naamini akifika ofisini kwake, atajifungia kidogo na kuimalizia hasira yake the same way wanawake wote wanamalizaga hasira zao!.

Kwa kuzingatia sifa kuu iliyomfanya Mhe. Mama Makinda kuchaguliwa kuwa spika, huku Mhe. Tundu Lissu akiujua fika uwezo wa Madam Spika, kwanini anaendelea kumsulubisha kila apatapo fursa?!. This is not fair!.

Kwa vile Mama Makinda amepewa uspika because she is a lady, kwa uzi huu, namuomba Mhe. Tundu Lissu na wabunge wengine wa Kambi ya Upinzani, wanapokuwa na hoja za msingi, wamuaddress Madam Spika with courtesy of addressing a lady, ili ku restore confidence yake kuliendesha bunge ambapo kwa sasa, ameshindwa kabisa, amezuia hoja zote binafsi, hivyo leo bunge limekutana asubuhi tuu kwa kipindi cha maswali na majibu na kuahirishwa, natumaini kesho na keshokutwa itakuwa vivyo hivyo!, huu ni ufujaji bure wa rasilimali za Taifa!.

Nawauliza wajameni, hivi hiki anachofanya Mhe. Lissu na wabunge wengine wa upinzani, kumsubulu Madam Spika ambaye ni mwanamke bila huruma, ni sawa kweli?!.

Kiafrika, wanawanake ni ni watu wa kubembelezwa na kuonewa huruma!, hivi hawa wabunge wa upinzani ni watu wa aina gani wasio hata na huruma kwa wanawake?!, leo ilibakia kidogo tuu madam spika angelia!, jee hiki wanachofanya ni sawa kweli?!. Ni haki?!.

Nawaombeni tumtendee haki Spika wetu aendesha bunge kwa haki na kujiamini!.

Pasco.

This is the WORST thread I have ever read since I joined Jambo Forum, now Jamii Forum!! Yaani unataka wabunge wasifanye mjukumu yao eti kwa sababu ya kumwonea huruma spika KILAZA kama huyo?! Hilo sio kosa la wapinzani wamepewa spika asiyejua kazi yake, ni kosa la CCM na waliomteua eti tu kwa sababu ni mwanamke na sio uwzo wake! If anythig, ningependa kusikia makombora zaidi ili kwa hawa vilaza. Inaboa.
 
Back
Top Bottom