Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
MHE. WANU HAFIDH (Mtoto wa Rais Samia) Awekeza Kuwainua Wanawake na Vijana Wakulima Kiuchumi Kupitia Zao la Mwani
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kusini Unguja na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF), Mhe. Wanu Hafidh Ameir tarehe 07 Machi, 2024 amesaini MOU na Kampuni ya Jaribu Investment kwa lengo la kushirikiana katika kuwainua Wanawake na Vijana kiuchumi ambao ni wakulima wa zao la Mwani Tanzania Bara.